Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

Hali ya gari tutawezaje kulijua kwa kuangalia picha ya nyuma ya gari? Au hali ya gari unaitazama kwa usajili? 9m sio tatizo je? Hiyo gari inaukamilifu ndani? Kuna mambo mengi sana ya kuzingatia kwenye gari cha msingi tafuta mjuzi wa magari kalicheki ukiridhika chukua
 
Premio liold model kabisa hilo 9M? kakuonaje huyo muuzaji! Aisee hapana kabisaa hata kama bado iko katika hali nzuri top 4M-5M na si zaid ya hapo
 
Nimekuelewa mtanzania mwenzangu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Biashara yeyote ni makubaliano na kuridhika kwa pande zote mbili baina ya mnunuaji na muuzaji. Ikiwa umeridhika na gari na pesa unayo wewe nunua tu.

Kuna mtu anachajiwa laki 1 kupiga bao 1 tu kwa demu halafu demu huyo huyo anaenda kugongwa usiku mzima kwa kutumiwa bodaboda tu imfuate.

Biashara haina formula maalum chief. Dafu unalolonunua jero mtaani mtu analinunua elfu 10 hotel ya kitalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…