Kama haina kipengere kwenye injini haijawahi kufanyiwa overhaul lipa tu........ila kumbuka unaongeza 6m unapata premio mpya number E kutoka Japan.Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuuView attachment 2719608View attachment 2719609View attachment 2719610
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
KabisaUnapigwa hapa.Hiyo ni million 5 tu.
3rd hand ni karibu sana mkuu. Hiyo gari ni ya mwaka 1997.Mkuu unataka tumuharibie biashara huyo jamaa yako? Yaani wewe kwa akili kabisa ya kawaida unanunua gari 3rd hand tena la kizamani kwa 9m? Hiyo gari ni 2m-3m.
Hiyo mllion 3 tu kinyume na hapo tafuta second hand ya mzungu
Hahahhahaha hii mpaka madem wa jf wasiojua magari wanasema haizidi 5m sasa sijui unakwama wapi. Hio 9M ni bora ununue IST yenye teknolojia mpya zaidi na ya kisasa kuliko hilo ligari la 5A engineNataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuuView attachment 2719614View attachment 2719615View attachment 2719617
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
F za Finland [emoji1103] au France [emoji632]??Ist namba F mpya mil 5
Ni sawa mkuu!Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuu
View attachment 2719570
Na wewe Mfano wako noma😳😳Biashara yeyote ni makubaliano na kuridhika kwa pande zote mbili baina ya mnunuaji na muuzaji. Ikiwa umeridhika na gari na pesa unayo wewe nunua tu.
Kuna mtu anachajiwa laki 1 kupiga bao 1 tu kwa demu halafu demu huyo huyo anaenda kugongwa usiku mzima kwa kutumiwa bodaboda tu imfuate.