Model ya zamani sana, ilishapitwa sana na wakati.Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuuView attachment 2719611View attachment 2719612View attachment 2719613
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
UtapigwaNataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuuView attachment 2719611View attachment 2719612View attachment 2719613
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Akiongeza hela anapata passo mbili mpya. Akanunue ist nayo ngumu kama hiyoSi bora uongeze pesa upate ya kwako hata passo
hii unaangaliaje mkuuMtu mwenyewe ana deni la trafiki hajalipa alikua anabadirisha oil kweli uyo?
View attachment 2719694
Tambua pia kuna watu wananunua magari kwa ajili tu ya kuwarahisishia mizunguko yao. Na wala hawaangalii matoleo.Model ya zamani sana, ilishapitwa sana na wakati.
Ishi na hiiKwa muonekano wa hiyo gari, bei halali inatakiwa icheze kati ya milioni 5-6. Ni gari nzuri inayoweza kuhimili barabara zote (lami na vumbi).
Ila mmiliki pia kajitahidi sana kuitunza. Ni aghalabu kukutana na Toyota Corona zenye usajili wa C na D. Nyingi zilizobakia ni za usajili wa A na B.
KabisaHali ya gari tutawezaje kulijua kwa kuangalia picha ya nyuma ya gari? Au hali ya gari unaitazama kwa usajili? 9m sio tatizo je? Hiyo gari inaukamilifu ndani? Kuna mambo mengi sana ya kuzingatia kwenye gari cha msingi tafuta mjuzi wa magari kalicheki ukiridhika chukua
Mpe Mil 7 Mkuu. Kwa sasa Dolla imepanda hadi 2600 kutoka 2300 hivyo magari yamepanda bei sana. Usisikilize maneno ya wasio na uzoefu kwenye hiyo fieldNataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9. Alianza na 11 tukashuka hadi 9, je, hiyo bei ni sawa kulingana na hali ya gari ilivyo?
Naomba saada wakuu.
View attachment 2719570
dola inahusikaje hapa kaka? kwani wekubaliana kulipana kwa dola?Mpe Mil 7 Mkuu. Kwa sasa Dolla imepanda hadi 2600 kutoka 2300 hivyo magari yamepanda bei sana. Usisikilize maneno ya wasio na uzoefu kwenye hiyo field
Hapana!Hivi Tz tunanunua plate number [emoji848]