Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
Aah ok asante Ila bado tuko nyuma wenzetu unaweza ukute new model gari let say 2023 lakini akatumia plate number ya miaka MingiHapana!
Ila hiyo 'plate number' inatuarifu kwamba hilo gari limeingia na kutumika Bongo kwa miaka mingi sana...
So, hata liwe na hali nzuri kiasi gani; thamani yake pia lzm ishuke sana!
Watu siku hizi hawaangalii engine babu,body kama inenyooka engine zipo za dubai nzuri kabisa na hazina beiHapana!
Ila hiyo 'plate number' inatuarifu kwamba hilo gari limeingia na kutumika Bongo kwa miaka mingi sana...
So, hata liwe na hali nzuri kiasi gani; thamani yake pia lzm ishuke sana!
Kwa haya magari madogo, gari ni body.gari sio body wew gari ni Engine kwaio hapo sisi wabobez wa magari hatuwez kukupa majibu mazur ila spare za premio bei kawaida
Unatoka mkoa gani?Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9. Alianza na 11 tukashuka hadi 9, je, hiyo bei ni sawa kulingana na hali ya gari ilivyo?
Naomba saada wakuu.
View attachment 2719570
Hapa unapigwa hii gari ukipigwa sana ni m5 kwa hiyo 9 unapata new model yake namba D kabisa iliyonyoka unanunuaje gari namba C
nunua kakaGari sio namba yake bali gari ni ubora wake
Gari linatazamwa bodi na mechanics zote ziko kwenye ubora gani ndio unanua..
Nimecheka sana hii comment[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Biashara yeyote ni makubaliano na kuridhika kwa pande zote mbili baina ya mnunuaji na muuzaji. Ikiwa umeridhika na gari na pesa unayo wewe nunua tu.
Kuna mtu anachajiwa laki 1 kupiga bao 1 tu kwa demu halafu demu huyo huyo anaenda kugongwa usiku mzima kwa kutumiwa bodaboda tu imfuate.
Biashara haina formula maalum chief. Dafu unalolonunua jero mtaani mtu analinunua elfu 10 hotel ya kitalii.
Shida aina ya gari pia ni Old school,ingekuwa ni IST au Premio new model maneno yako yangeleta maanaGari sio registration number bro. Unaweza kuuziwa hiyo D ikawa chafu kuliko A. Msipende kukariri.