Msaada: Godoro gani zuri?

Msaada: Godoro gani zuri?

Mzee hapo mbona hakuna cha kuuliza?
Nunua TANFOAM.
Sio Utani, home tunalo lililonunuliwa 1983, enzi hizo inchi 4 ndio maximum, hadi leo limebaki vilevile si kando wala katikati ni inchi 4 zilezile
 
basi kama wanachakachua magodor inabidi uanze kutumia ngozi kama wazee wetu wa zamani kwani hawakuwa wanaumwa shingo
 
Mkuu TANFOAM ndio mwisho wamatatizo'' ila bei yake andaa mara mbili na nusu ya Pesa uliyotumia kununua hilo godoro lako la sasa!

Kwamsaada zaid nipm maana hizo ndio shughuli zangu!

Sema pesa ngap kila MTU aku-pm ili iwaje?
 
godoro kwa ajili ya kuzuia maumivu ya mgongo /shingo ni: TANFOPAEDIC LINATENGENEZWA NA Tanform, Arusha na orthopaedic kutoka VITAFORM
 
Pia pale sokokuu kuna wahindi wana maduka mawili pale wanauza magodoro kwa bei nzuri na original.
Beba Tanfoam sahau matatizo

ANGALIZO: Ziko Tanfoam feki. Nimewahi kununua Tanfoam pale Arusha tena ina muhuri wa TANFOAM LAKINI KUMBE ILIKUWA FAKE na haikumaliza miaka 2 kwisha.

So uwe makini nunua sehemu zinazoaminika au ukiweza nenda KIWANDANI MOJA KWA MOJA ARUSHA
 
Ha ha ha itabidi nibadili mtazamo wangu juu ya wanaume wenye family maana kwa zile changizi zako kule mtaa Wa bondeni nikajua kijana flan mhuni hivi....

Hongera mkuu
Kuzungumzia Yale kule Bondeni ndiyo uhuni kwako?
 
Back
Top Bottom