Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Nunua la sufi ila jiandae kila asubuhi kuokota mbegu za sufi uvunguni.
Daaa nimecheka sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua la sufi ila jiandae kila asubuhi kuokota mbegu za sufi uvunguni.
Chukua la kampuni ile inayotamba bila ya kubadili matangazo kama Comfy
Mambo yote ni TANFOAM, wengine wasindikizaji tuu
Godoro hua lina expire baada ya miaka mitano Katupe hilo usije ulapata madhara ya mgongo uzeeni
godoro dodoma ndio mwisho wa matatizo yko huo ndo ukweli km vp ni pm nikupe namba ya wakala kwan wengine wanachakachua bt hilo utalipata kutoka kiwandan
Mkuu TANFOAM ndio mwisho wamatatizo'' ila bei yake andaa mara mbili na nusu ya Pesa uliyotumia kununua hilo godoro lako la sasa!
Kwamsaada zaid nipm maana hizo ndio shughuli zangu!
Nikifika Home nitakujibu,nimesahu jina,ila ni la ukweli!mrejesho ni Vita Raha garantii miaka 3!godoro zuri
Mkuu inaonekana wewe ni watchman huna muda wa kulalia ndo maana bado jipya.
godoro kwa ajili ya kuzuia maumivu ya mgongo /shingo ni: TANFOPAEDIC LINATENGENEZWA NA Tanform, Arusha na orthopaedic kutoka VITAFORM
Wanauzaje mkuu
Umeshajua Tanfoam yanapatikana wapi kaa dar?
Nataka kuwachukulia vijana wangu
Beba Tanfoam sahau matatizo
ANGALIZO: Ziko Tanfoam feki. Nimewahi kununua Tanfoam pale Arusha tena ina muhuri wa TANFOAM LAKINI KUMBE ILIKUWA FAKE na haikumaliza miaka 2 kwisha.
So uwe makini nunua sehemu zinazoaminika au ukiweza nenda KIWANDANI MOJA KWA MOJA ARUSHA
Mkuu Una family?
Ndiyo mkuu.....
kati ya laki 5-6 kwa 6 x6
Kuzungumzia Yale kule Bondeni ndiyo uhuni kwako?Ha ha ha itabidi nibadili mtazamo wangu juu ya wanaume wenye family maana kwa zile changizi zako kule mtaa Wa bondeni nikajua kijana flan mhuni hivi....
Hongera mkuu
Kuzungumzia Yale kule Bondeni ndiyo uhuni kwako?