profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
jamaa kafungia ufunguo ndani ya gari na ka lock milango,na kapandisha vyoo vyote, gari ni runx, msaada tafadhali kwamafundi na wazoefu,afanyeje jamaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Bomoa dirisha la gari mkuu...easy!
Naa buti ipo locked 😀Kapandisha vyoo vyote, pole sana!
🥴Duh!
Jibu hilo hapo umepewa ukishindwa na hili basi vunja kioo cha mbele tu hakuna namna fundi atakuja kuweka kioo kingineFungua nyuma ya buti.kuna sehem unaweza kufungua mlango.
Vunja kiooNaa buti ipo locked 😀
Waliolewa au walioolewa?Mimi kama mimi sijakuelewa,, anyway fuata maelekezo uliyopewa na walioelewa
Wewe utakua upo sahihi piaChukua zle tape kubwa za kufungia mabox...nendaa kwa kioo chochote cha cha mlango natisha kama 6 alafu shika kwa nguv zle tape lazma kioo kishuke ....
Mbinu ingne hii siijui if ina work niliona tu huko dunian unashka kitasa cha mlango azia wa kushoto mbele vuta mara3 unaachia...unarud wa nyuma mara3 ..zunguka mwngne mara3 malizia wa dereva mara2 au 3...chek
Wewe jamaa inaonekana ndoa ishatawala akili yako saiz 😃😃Waliolewa au walioolewa?
Emu tungumzie kioo ndoa twende tukazungimzie kuleWewe jamaa inaonekana ndoa ishatawala akili yako saiz 😃😃
nimecheka jamani 😂😂😂😂😄Ninajua namna ila kwa kuwa unasapoti dp world sikuwambii