Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

jamaa kafungia ufunguo ndani ya gari na ka lock milango,na kapandisha vyoo vyote,gari ni runx,msaada tafadhali kwamafundi na wazoefu,afanyeje jamaa..
Rahisi sana hyo, ilishanikuta kwenye toyota Alle, nilichofanya ni kutafuta funguo za gari inayofanana vitasa na gari yangu baaass,mm nili tafuta funguo ya toyota ist nikachekecha ikakubali, yaani hapo ukipata funguo ya ist, spacio, primio n.k unafungua mlango bila shida yoyote ile ila kwa kuchekecha sijui unanielewa nikisema kuchekecha.

Hizi gari ambazo vitasa vinafanana funguo huingiliana sana ila sio kuwasha gari (unaqeza kufungua mlango lakini sio kuwasha gari). Haina hata haja kuvunja kioo, utajitia hasara bure tu.
 
Waya mgumu kama ule wa hanger za nguo. Unaupinda kutengeneza hook upande mmoja halafu unauingiza kwa kulazimisha juu ya kioo cha mlango kwenye zile insulation rubber hadi waya uingie ndani ili uvute lock ya mlango. Mimi imenitokea mara nyingi na hii ndiyo mbinu niliyotumia. Hamna kitakacho haribika sababu waya mgumu utapenya hadi ndani kupitia insulation rubber ya mlango.
 
Rahisi sana hyo, ilishanikuta kwenye toyota Alle, nilichofanya ni kutafuta funguo za gari inayofanana vitasa na gari yangu baaass,mm nili tafuta funguo ya toyota ist nikachekecha ikakubali, yaani hapo ukipata funguo ya ist, spacio, primio n.k unafungua mlango bila shida yoyote ile ila kwa kuchekecha sijui unanielewa nikisema kuchekecha.

Hizi gari ambazo vitasa vinafanana funguo huingiliana sana ila sio kuwasha gari (unaqeza kufungua mlango lakini sio kuwasha gari). Haina hata haja kuvunja kioo, utajitia hasara bure tu.
Mbaya zaidi hizi gari zikilock hata ukipenyeza kitu utoe lock kwa master lock huwa haifanyi kazi maana nilifanya hvyo nikafeli ndio maana nikaamua kutafuta funguo.
 
Back
Top Bottom