Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

ishanitokea mara mbili hii.

ukibaharika kupata fundi wa mwerevu anaingiza spoko mlangoni anaanza kuivuta juu kwa kustukiza, (ndivyo wezi wanavyoibia watu), njia hii nzuri maana haiharibu mlango

fundi wengi wanaingiza nondo pale kwenye mlango pawe na uwazi, hapo sasa wanaingiza kifimbo kigumu kirefu kukielekeza kwenye loki ya kufungulia mlango ama wazivute funguo kama zitavutika, ubaya wa hii njia inaharibu mlango kule wanapoingizia nondo.
 
Back
Top Bottom