Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

Ndio tena kabisaa unamsaidiaje mwana ccm ambae akiingia madarakani anakuteka na kukupiga risasi? Bungeni wanapiga kura za ndioooo kama mataahira?
We jamaa umeelewa topic vizuri lakini? Tupo kwenye mazoezi kwa vitendo ya kufungua gari lililojilock na funguo ndani kwa hia tulia kidogo emu nipishe kidogo
 
HITIMISHO;TULICHUKUA WAYA WA CHUMA UNAOPITA KATIKATI YA SENYENGE,KAMA MITA MOJA,TUKAFOSI KAMA TUNAFUNGUA MLANGO WA DEREVA KWA JUU,KATIKATI YA RABA,KWA KUTUMIA FLAT SCREW DRIVER,TUKAINGIZA WAYA NA KU PRESS CENTRE LOCK,NA KUFANIKIWA KU UNLOCK,.ASANTENI KWA USHAURI WENU.
 
WaTz tuachane na haya magari ambayo unweza fungia fungua ndani. Binafsi miki Kwa gari langu aliwezekani. Tuachane na haya magari wanayofungia Solex
 
Kwa wasiopandisha vioo vya milango ya mbele hadi mwisho kumbe wahuni wakipenyeza vidole pale na kuning'inia kioo kinashuka!
 
WaTz tuachane na haya magari ambayo unweza fungia fungua ndani. Binafsi miki Kwa gari langu aliwezekani. Tuachane na haya magari wanayofungia Solex
Hata mimi gari niliyonayo mlango wa dereva hauwezi ku lock bila kufunga na funguo.
Milango mingine inaweza kujilock ila sio wa dereva.
 
WaTz tuachane na haya magari ambayo unweza fungia fungua ndani. Binafsi miki Kwa gari langu aliwezekani. Tuachane na haya magari wanayofungia Solex
duh,si itakuwa pigo kubwa kwa makampuni ya kurengeneza magari,maana ni mengi sana duniani,hata youtube wamejaa wazungu/wahindi nk waliosahau funguo ndani ya gari...
 
Hata mimi gari niliyonayo mlango wa dereva hauwezi ku lock bila kufunga na funguo.
Milango mingine inaweza kujilock ila sio wa dereva.
ukisha chomoa funguo na kulock milango yote ukiwa ndani,fungua mlango wa dereva then lock kwa center lock,alafu wakati unafunga mlango wa dereva shikilia kitasa kwa kukivutia nje,kwa nje,alafu funga mlango,then achia kitasa,utakuwa umelock milango yote pamoja na wadereva bila kutumia funguo,mimi nimezoea hivyo,ndo maana nilisahau ufunguo ndani,na milango nikalock yote..
 
Back
Top Bottom