Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Na hakuna mihemko Bali ndo ukweli SIWEZI ISHI NAYE....kwa hiyo huo ushauri wake Wa kurudiana afute kichwa.....
Sijashauri urudiane nae ila ungejitahidi sana kumuondoa kwa njia za kidiplomasia mie yameshanikuta Kama hayo yako nilikuja kutoa milioni 40 kunusuru mjengo wangu
 
Oh, kumbe ndio iko hivyo Tena!? Huyu wa Sasa umefunga naye ndoa!? Maana nae anaona mchezo wote, uwe making Sana, maana yule umemwita hawala tu uliyedumu naye miaka 3, huyu naye anakusoma tu, nirudie Tena, uwe makini Sana kwa hatua unazochukua juu ya huyo mkeo wa zamani, mliechuma nae mpaka kujenga 'choo'!
True huyu niliyenaye mwezi ujao naenda kwao..na hili ni funzo siku nikiamua kujenga nyumba nyingine kuanzia Kiwanja naandika jina la mzazi wangu na sitomshirikisha mke
 
Sijashauri urudiane nae ila ungejitahidi sana kumuondoa kwa njia za kidiplomasia mie yameshanikuta Kama hayo yako nilikuja kutoa milioni 40 kunusuru mjengo wangu
Wewe ilikuwaje? maana Nina wazo lingine....nikiona mambo kama yanaenda kombo ninampango Wa kusingizia kuwa ile nyumba Ni ya mzazi(mama) maana alikuwa ananitumia pesa najenga Mimi Ni msimamizi tu...eti hapo vipi...
 
Teteteeeeh...........haya bwana yupo kwao hivi sasa
Mbona unaziruka "comments" zinazokupa majibu stahiki? Huyo mkeo kisheria, kama unataka aondoke sharti mgawane kilichopatikana tangu mlipoanza kuishi pamoja. Iko hivyo.
 
True huyu niliyenaye mwezi ujao naenda kwao..na hili ni funzo siku nikiamua kujenga nyumba nyingine kuanzia Kiwanja naandika jina la mzazi wangu na sitomshirikisha mke
😂 😂 😂😂😂 acha hizo, maana yake unaishi nae huku ukijiandaa kuachana naye eeh, chunga Sana, akigundua utalipa gharama kubwa Sana kwenye mahusiano maana naye anaweza fanya hivyo hivyo kwa msaada wa wengine!

Ukimwandikisha mzazi, ikitokea atangulie mbele ya haki utaingia mgogoro mkubwa zaidi wa ndugu zako! Usiishi maisha ya kutega mabovu, yanaweza kukulipukia mwenyewe!
 
Ushauri mwengine usimuache Ila endelea naye halafu tafuta mke Wa pili mlete hapo nyumbani
Nalog
 
Na Mimi atalipa more kwa kumtumzia mtoto.....
Usipoteze muda kijana, ukitaka aondoke kwa amani wewe mwambie yamekwisha huna tatizo arudi muishi pamoja. Kisha tafuta mtoto mwingine matata mlete hapo muishi pamoja uwe unapiga THREESOME, akishindwa ataondoka mwenyewe tu.
 
Iko poa licha ya kuwa na yeye anaweza leta jamaa mwingine
 
😂 😂 😂😂😂 acha hizo, maana yake unaishi nae huku ukijiandaa kuachana naye eeh, chunga Sana, akigundua utalipa gharama kubwa Sana kwenye mahusiano maana naye anaweza fanya hivyo hivyo kwa msaada wa wengine! Ukimwandikisha mzazi, ikitokea atangulie mbele ya haki utaingia mgogoro mkubwa zaidi wa ndugu zako! Usiishi maisha ya kutega mabovu, yanaweza kukulipukia mwenyewe!
Teteteeee sidhani maana Mali ya mzazi Ni ya mtoto siyo mwanamke au ukoo ina maana akitangulia naikamata......nataka mke siyo jambazi.....
 
Asante sana Mkuu.....thanks... [emoji120] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Asante sana Mkuu thanks.....maana wengi wanajifariji na muda Wa kukaa naye.....sasa wanatunyonya sana eti [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji120][emoji120]😳
Usitishike na Hawa bush lawyers hawajui lolote. Nimekupa ushauri kwa uzoefu wangu. Na akiendelea kukuzingua niambie mkoa ulipo nikuunge na mtu akusaidie
 
Back
Top Bottom