Msaada: Hii vita mimi na Wife

Yaani atoe 2m kisa anunue tv kisa matamthilia? Aisee...!
Kwahiyo unaona agombanie remote na mke na watoto?au awakatili wasiangalie.Unavyopenda kufurahisha nafsi yako,na ufurahishe nafsi ya mke na watoto hivyo hivyo.

Sasa shida ni nini kununua tv nyingine?
 
Ni makosa makubwa na niudhaifu kwa mwanaume/baba kunyang'anyana remote na mke/watoto
Sasa nakushauri huyo mkeo mpe kichapo hadi sura yake isijulikane, kisha mrudishe nyumbani kwao kwa utovu wa nidhamu...[emoji12][emoji12]

Daah huu ishauri huu... Kwaiyo u ataka jamaa amshilole mkewe?
 
Kwanini usitumie simu yako kupekenyua hizo taarifa uzitakazo tena ukiwa umepumzika kitandani af wife ukamwacha na luninga lake sebuleni?
Yaani ninuniane na mama kisa tivii huku simu nimeishindilia ma gb's kibao, why why why?
 
Mke nae ana haki ya kuangalia anachopenda
Wataangalia TV kwa kutengana kwasababu ya haki, watakaa pamoja kifizikali kila mmoja akiwa na simu vere bize...mpasuko ndani ya chama unaongezeka, kitanda ni 7 X 8, wakitofautiana maneno kidogo, kwakuwa wana nyumba ya vyumba vinne vya kulala, wanatengana vyumba kwa muda, then kutokana na haki, eksipiriensi ya mwanamke kuwa na Eksi coaster moja, jamaa hafikii viwango anavyolinganishwa navyo, hatimaye wanaenda kumalizia haki mahakamani kwa kupewa makaratasi ya kuambiwa mkae mbali mbali. Na hapo haki inakuwa imetendeka
 

Nimeelewa point yako mkuu(kama ni kweli ulimanisha nilichoelewa)

Kwamba haki sio kila kitu katika ndoa,bali makubaliano na kujishusha kwa mmoja kati ya wawili
 
Kuna nini kikubwa cha ziada kwenye hizo taarifa za habari siku hizi???
 
Nunua TV mbili moja weka sebuleni nyingine chumbani nunua dstv unganisha kwa extra view. Hakuna ugomvi hapo. Au tumia laptop angalia dstv
 
Reactions: amu
Badala ya kugombea rimoti, kwa nini usimwambie mwenye rimoti awe habari?
 
Solution rahisi na haraka ni kununua TV nyingine
Mwanaume anakaaje nyumbani kugombania rimoti na watoto wakiwa na mama yao.Mwanaume hatakiwi hata kula chakula cha nyumbani kwake.Akale anaposhinda!Ataanza kugombania mapaja ya kuku na watoto mwishowe.Mwanaume ni kujipa mateso.(Tumia akili yako)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo mke yeye hataki kujua yanayojiri duniani? Utakuwa na mke wa ajabu ajabu tu. Taarifa ya habari iwe mandatory mda ukifika. Awe ameshika rimoti au vipi, wote tutaangalia taarifa, asiyetaka na aende kulala. IlΓ  kama hutaki malumbano ingia Facebook, subscribe TV channels ili uwe unaangalia online taarifa.
 
Hili nalo la kuomba ushauri?
 
Nashukuru kwa Ushauri wenu! Wiki Ijayo kununua nyingine naweka bedroom,Mods naomba nihamishie uzi kule Chit- Chat....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…