Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
kichefuchefu...alowahi simika bendera nje😆😆!
😂😂😂That was too much mpaka bendera aisee! Kazi kweli kweli.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kichefuchefu...alowahi simika bendera nje😆😆!
Ana makusudi ya kukera Kama Bashite...😂😂😂That was too much mpaka bendera aisee! Kazi kweli kweli.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Kwahiyo unaona agombanie remote na mke na watoto?au awakatili wasiangalie.Unavyopenda kufurahisha nafsi yako,na ufurahishe nafsi ya mke na watoto hivyo hivyo.Yaani atoe 2m kisa anunue tv kisa matamthilia? Aisee...!
Ni makosa makubwa na niudhaifu kwa mwanaume/baba kunyang'anyana remote na mke/watoto
Sasa nakushauri huyo mkeo mpe kichapo hadi sura yake isijulikane, kisha mrudishe nyumbani kwao kwa utovu wa nidhamu...[emoji12][emoji12]
Kwanini usitumie simu yako kupekenyua hizo taarifa uzitakazo tena ukiwa umepumzika kitandani af wife ukamwacha na luninga lake sebuleni?Kwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Wataangalia TV kwa kutengana kwasababu ya haki, watakaa pamoja kifizikali kila mmoja akiwa na simu vere bize...mpasuko ndani ya chama unaongezeka, kitanda ni 7 X 8, wakitofautiana maneno kidogo, kwakuwa wana nyumba ya vyumba vinne vya kulala, wanatengana vyumba kwa muda, then kutokana na haki, eksipiriensi ya mwanamke kuwa na Eksi coaster moja, jamaa hafikii viwango anavyolinganishwa navyo, hatimaye wanaenda kumalizia haki mahakamani kwa kupewa makaratasi ya kuambiwa mkae mbali mbali. Na hapo haki inakuwa imetendekaMke nae ana haki ya kuangalia anachopenda
Wataangalia TV kwa kutengana kwasababu ya haki, watakaa pamoja kifizikali kila mmoja akiwa na simu vere bize...mpasuko ndani ya chama unaongezeka, kitanda ni 7 X 8, wakitofautiana maneno kidogo, kwakuwa wana nyumba ya vyumba vinne vya kulala, wanatengana vyumba kwa muda, then kutokana na haki, eksipiriensi ya mwanamke kuwa na Eksi coaster moja, jamaa hafikii viwango anavyolinganishwa navyo, hatimaye wanaenda kumalizia haki mahakamani kwa kupewa makaratasi ya kuambiwa mkae mbali mbali. Na hapo haki inakuwa imetendeka
Nunua TV mbili moja weka sebuleni nyingine chumbani nunua dstv unganisha kwa extra view. Hakuna ugomvi hapo. Au tumia laptop angalia dstvKwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Mwanaume anakaaje nyumbani kugombania rimoti na watoto wakiwa na mama yao.Mwanaume hatakiwi hata kula chakula cha nyumbani kwake.Akale anaposhinda!Ataanza kugombania mapaja ya kuku na watoto mwishowe.Mwanaume ni kujipa mateso.(Tumia akili yako)😂😂😂😂😂😂Solution rahisi na haraka ni kununua TV nyingine
Nunua seti ya pili ya tv weka bed room, hayo mambo madogo sana miaka hii my sonNipe ushauri nifunge uzi mkuu...Mimi imenifika shingoni.
Jumapili nawapeka kanisani mwenyewe[emoji3][emoji3]umenifurahisha ,ila kuwa makini watoto watakusahau ujue.
Hili nalo la kuomba ushauri?Kwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Sijaoa ila nimepata kitu na point yako, kwamba inabd usimame kama mwanaume...asanteKwa chemistry ya kifamilia, hili halitakiwi.
Ni sheria tu inapita, taarifa ya habari haina discussion, nikiwa home ni lazima tuangalie.