Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa sio kwa umbea huuMi nasubiria kujua nn kimejiri Hata sijui Kama ni Arv au ni nini
Haahaa bhana, eti unapewaNdo vyenyewe ila mimi nimezoea vya kahawia au wakati mwingine napewa vyeupeView attachment 489859
Naaam naam nimekupata vema Daktari, na hio undetectable status ndo nn?Post Exposure Prophylaxix,kitu kinachotumika kukukinga baada ya kuwa exposed na kitu flan ..eg mwanamke unekutana na mwanaume danger day,au mwanamke umebakwa,au umecontact na damu yenye virusi vya ukimwi kwa bahati mbaya..so within 72 hours unapata dawa za kukinga mimba au ukimwi ndo sasa vinaitwa PEP.
Hali ya maambukizi haijulikaniNaaam naam nimekupata vema Daktari, na hio undetectable status ndo nn?
Dah, huu mkono huu jinsi ulivyo!
Dalili kubwa ya waathirika huwa hawatoi gemu mapema, ukiona imekuwa tait sna chomoa pia tatzo sisi wanaume tunajifanyaga hatutak kuonekana tunashindwa kumbe mtu alikuwa anakuokoa!una Bahati sana. Umeokoka?
Tusijipe moyo, dawa hamna kwa sasa.Kakini naskia HIV inatibikakwa Dawa Asiri na Pia Israeli wamegundua Dawa ya kisayansi nikweli ugonjwa huu unatibika? mm kuna MTU aliniambia ameshuudia Watu 4 wmepona baada ya kutumia Dawa za asir kutoka nch mbili tofaut zanje inawezekana ikawa kwel Dawa ipo
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Uumekuta.mkeo kavificha ndani
Ila pia kuna wengine ni warahisi mno sababu kalipuliwa na mwanaume sasa na yeye ana chuki na wanaume hivyo anataka awambukize roho yake anhalau itulie!Dalili kubwa ya waathirika huwa hawatoi gemu mapema, ukiona imekuwa tait sna chomoa pia tatzo sisi wanaume tunajifanyaga hatutak kuonekana tunashindwa kumbe mtu alikuwa anakuokoa!
Yeah hilo nalo neno mkuu! Kwenye hii thread ukapost sauv picha ya mdada mkaliii yuko naked watu hawatachangia kumsifia viumbe wote hai tunaogopa kifo sna ila tulipewa roho ya kusahauIla pia kuna wengine ni warahisi mno sababu kalipuliwa na mwanaume sasa na yeye ana chuki na wanaume hivyo anataka awambukize roho yake anhalau itulie!
Ukimtongoza tu kakubali tena, chunga sana wadada!
Huu uzi umenipa somo kubwa sana, mi ni mwanaume halisi ila sio mtu wa anasa, ila uzi huu umenifunza zaidi.
hapana tusiwe wavivu kufuatikia mambo inawezekana zipo sema tunakufa kwa ubishi tu ......Tusijipe moyo, dawa hamna kwa sasa.
Nimeshuka tayari, uko wapi nijeNatamani mwanaume wangu ashushwe awe malaika asiwe mchepukaji
Tena ujifunze mbele kwa tahadharIla pia kuna wengine ni warahisi mno sababu kalipuliwa na mwanaume sasa na yeye ana chuki na wanaume hivyo anataka awambukize roho yake anhalau itulie!
Ukimtongoza tu kakubali tena, chunga sana wadada!
Huu uzi umenipa somo kubwa sana, mi ni mwanaume halisi ila sio mtu wa anasa, ila uzi huu umenifunza zaidi.