Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Kakini naskia HIV inatibikakwa Dawa Asiri na Pia Israeli wamegundua Dawa ya kisayansi nikweli ugonjwa huu unatibika? mm kuna MTU aliniambia ameshuudia Watu 4 wmepona baada ya kutumia Dawa za asir kutoka nch mbili tofaut zanje inawezekana ikawa kwel Dawa ipo
 
Post Exposure Prophylaxix,kitu kinachotumika kukukinga baada ya kuwa exposed na kitu flan ..eg mwanamke unekutana na mwanaume danger day,au mwanamke umebakwa,au umecontact na damu yenye virusi vya ukimwi kwa bahati mbaya..so within 72 hours unapata dawa za kukinga mimba au ukimwi ndo sasa vinaitwa PEP.
Naaam naam nimekupata vema Daktari, na hio undetectable status ndo nn?
 
Option-B+-629x419.jpg
Dah, huu mkono huu jinsi ulivyo!
 
Kakini naskia HIV inatibikakwa Dawa Asiri na Pia Israeli wamegundua Dawa ya kisayansi nikweli ugonjwa huu unatibika? mm kuna MTU aliniambia ameshuudia Watu 4 wmepona baada ya kutumia Dawa za asir kutoka nch mbili tofaut zanje inawezekana ikawa kwel Dawa ipo
Tusijipe moyo, dawa hamna kwa sasa.
 
Kuna binti mwezi wa 12 nilienda nae kavu kavu kumbe alikuwa anaingia period na yeye alikuwa hafahamu da asubuhi naamuka dushe limejaa damu tupu.da nikajisemea moyoni huyu binti kama ana kaswende au kisonono basi nitakuws nisha pata baada ya wiki 2 ikanibidi niende kupima kisonono na kaswende,nikakutwa sina.
Yeye akaenda kupima Ukimwi hakuniambia majibu mpaka leo
 
Dalili kubwa ya waathirika huwa hawatoi gemu mapema, ukiona imekuwa tait sna chomoa pia tatzo sisi wanaume tunajifanyaga hatutak kuonekana tunashindwa kumbe mtu alikuwa anakuokoa!
Ila pia kuna wengine ni warahisi mno sababu kalipuliwa na mwanaume sasa na yeye ana chuki na wanaume hivyo anataka awambukize roho yake anhalau itulie!
Ukimtongoza tu kakubali tena, chunga sana wadada!
Huu uzi umenipa somo kubwa sana, mi ni mwanaume halisi ila sio mtu wa anasa, ila uzi huu umenifunza zaidi.
 
Yeah hilo nalo neno mkuu! Kwenye hii thread ukapost sauv picha ya mdada mkaliii yuko naked watu hawatachangia kumsifia viumbe wote hai tunaogopa kifo sna ila tulipewa roho ya kusahau
 
Ila pia kuna wengine ni warahisi mno sababu kalipuliwa na mwanaume sasa na yeye ana chuki na wanaume hivyo anataka awambukize roho yake anhalau itulie!
Ukimtongoza tu kakubali tena, chunga sana wadada!
Huu uzi umenipa somo kubwa sana, mi ni mwanaume halisi ila sio mtu wa anasa, ila uzi huu umenifunza zaidi.
Tena ujifunze mbele kwa tahadhar
 
Back
Top Bottom