ikinyunyi
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,065
- 940
[emoji12] [emoji38]Nimeshuka tayari, uko wapi nije
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji38]Nimeshuka tayari, uko wapi nije
kwa waliopooza kuna mashine ya kisasa inayomaliza tatizo lako, wanatibu magonjwa mengi sugu kwa being nafuu na kutoa ushauri bure pamoja na vipimo vyote bure
Apo Bp 200/120mmHg duh!!Utakuja ua watu ww
Yan cjakusoma chief, kw hyo hapa ana chaji miguu ilopooza au[emoji15]kwa waliopooza kuna mashine ya kisasa inayomaliza tatizo lako, wanatibu magonjwa mengi sugu kwa being nafuu na kutoa ushauri bure pamoja na vipimo vyote bure
hyo ni mashine inanyoosha viungo hyo anasrock ktk mguu. but zoo mashine aina nying unafanyiwa massage kwa mashne pamojaba Dawa na hatimae unapona, nineshuhudua watuwamepona nikiwaeleza hapa magonjwa waliopona mtakataa najua weng wetu wabishiYan cjakusoma chief, kw hyo hapa ana chaji miguu ilopooza au[emoji15]
Ukimwo auna dawa kwasababu ukimwi sio ugonjwaKakini naskia HIV inatibikakwa Dawa Asiri na Pia Israeli wamegundua Dawa ya kisayansi nikweli ugonjwa huu unatibika? mm kuna MTU aliniambia ameshuudia Watu 4 wmepona baada ya kutumia Dawa za asir kutoka nch mbili tofaut zanje inawezekana ikawa kwel Dawa ipo
Thatz wise, mapenzi co uadui....mnaachana kw heshima bila kudhalilishana, ht mm nina exes kibao wamebaki kuwa marafiki wazuri sn kwng!... Hahaaa sikumuoa but nilimsaidia mengi sanaa, na kwa kweli ali appreciate. Ingawa ni muda mrefu sasa but we still communicate.
Kimeo hicho m'baba!Nenda kapime kwanza ww
Inakuaje yale magonjwa moja moja yana dawa?? Maana ukimwi ni mchanganyiko wa haya haya magonjwa yaliyopo sasa yanashambulia kwa wakati mmoja!Ukimwo auna dawa kwasababu ukimwi sio ugonjwa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwani nani kakuuliza unafanya Kazi wapi? C tunataka kujua zenyewe au la! Mbona utetezi mwingi!
Story kama hizi zinatupa moyo sana wazinzi...Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.
Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
Hazipaswi kua hivyo HIV isikie kwa jirani, fikiria ikupate na dawa zikukatae? Tusiwanyanyapae tu waathirika.Story kama hizi zinatupa moyo sana wazinzi...
Duh, kumbe kuna wengine dawa zinakataa! Duh!Hazipaswi kua hivyo HIV isikie kwa jirani, fikiria ikupate na dawa zikukatae? Tusiwanyanyapae tu waathirika.
Wengi ni wale wavivu wa kunywa dawa wanakunywa leo kesho wanasahau au wanakumbuka baada ya siku tatu, wengine ni kutokana na matatizo ya kisaikolojia, wengine ulevi na utumiaji wa madawa ya kulevya. Watu hawa wanafanya dawa ziwe sugu. Nilikutana na dada mmoja yeye tangu anaanza kutumia dawa zimemkataa, kwahiyo inabidi apewe cocktail na kuchekiwa kila mwezi. Tumaini lake ni hizi dawa mpya zilizogunduliwa sasa.Duh, kumbe kuna wengine dawa zinakataa! Duh!