Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

b9f6524b224eacbbca3df061edc73a9c.jpg
 
kwa waliopooza kuna mashine ya kisasa inayomaliza tatizo lako, wanatibu magonjwa mengi sugu kwa being nafuu na kutoa ushauri bure pamoja na vipimo vyote bure
Yan cjakusoma chief, kw hyo hapa ana chaji miguu ilopooza au[emoji15]
 
Yan cjakusoma chief, kw hyo hapa ana chaji miguu ilopooza au[emoji15]
hyo ni mashine inanyoosha viungo hyo anasrock ktk mguu. but zoo mashine aina nying unafanyiwa massage kwa mashne pamojaba Dawa na hatimae unapona, nineshuhudua watuwamepona nikiwaeleza hapa magonjwa waliopona mtakataa najua weng wetu wabishi
 
Kakini naskia HIV inatibikakwa Dawa Asiri na Pia Israeli wamegundua Dawa ya kisayansi nikweli ugonjwa huu unatibika? mm kuna MTU aliniambia ameshuudia Watu 4 wmepona baada ya kutumia Dawa za asir kutoka nch mbili tofaut zanje inawezekana ikawa kwel Dawa ipo
Ukimwo auna dawa kwasababu ukimwi sio ugonjwa
 
Kuna siku shule jamaa mmoja aliumwa si akaja na mavidonge makubwa ya rangi nyeusi na brown bwana mmoja aliitwa Chuku so akamuambia hivyo midonge mikubwa na miyeusi Kama vya ukimwi kila mtu alistuka kwenda kutizama... Tokea siku hiyo hadi Leo najua Dawa za ukimwi ni nyeusi dah..
 
Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.

Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
Story kama hizi zinatupa moyo sana wazinzi...
 
Duh, kumbe kuna wengine dawa zinakataa! Duh!
Wengi ni wale wavivu wa kunywa dawa wanakunywa leo kesho wanasahau au wanakumbuka baada ya siku tatu, wengine ni kutokana na matatizo ya kisaikolojia, wengine ulevi na utumiaji wa madawa ya kulevya. Watu hawa wanafanya dawa ziwe sugu. Nilikutana na dada mmoja yeye tangu anaanza kutumia dawa zimemkataa, kwahiyo inabidi apewe cocktail na kuchekiwa kila mwezi. Tumaini lake ni hizi dawa mpya zilizogunduliwa sasa.
 
Back
Top Bottom