Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

Njoo Pm nikuelekeze upone vidonda vyako kirahisi ila kama unazitafuta hospitali wala usihangaike kuja PM baki huko huko unapotaka!
 
Sehemu gani hapo garage mkuu?
Ukiwa unaenda ubungo kuna kituo kinaitwa garage ndo unashukia hapo
Kuna sheli ya Victoria , achana nayo fuata barabara kuelekea kanisa la Roman .

Ni miaka mingi imepita nilienda 2012 so unaweza kukuta wamehama hapo ila ulizia hospital nzuri utapata. Mimi nimesahau kabisa kama nilipata ulcers nakula kila kitu .
 
Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
Pole mkuu.

Huku ukiendelea na tiba za hospital,jaribu na hizi;
Haya ni majani ya mti Fulani ambao una kama vijiti mithili ya vimiba.

JamiiForums239443412.jpg



Pia jaribu mbegu ya parachichi.
Lile kokwa lake unasaga halafu unatengeneza kwa kuchabganya na maji ya moto.
Kunywa asubuhi na jioni.


Ukiwa unafanya hayo, jitahidini kula Kwa wakati.
Pia angalia vyakula unavyokula,viwe laini.

Mwisho nakushauri muombe Mungu akuponye.

Mimi nilitumia hayo yote na ndani ya mwezi mmoja tu nilipona vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikae na Njaa, usile vituvigumu, acha vinywaji vyenye gesi-soda na Rafiki zake.
Pendelea kunywa mtindi, asubuhi kunywa maji ya bamia(kata vipande vidogo vidogo vya bamia safi viloweke kwenye maji Usiku, asubuhi chuja na unywe.
 
Back
Top Bottom