Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

Dawa zipo kwa mtu ambaye yupo mbeya nitafute ni nzuri sana
 
Pole sana
nenda kwa wakorea , kupona ni uhakika .
Mahali nilipoenda ni Ubungo garage ila ni miaka mingi imepita inawezekana wamehama pale .
Hao wakorwa walikuwa wajiitaje hospital yao niwatafte waliko nikiwakosa hapo
 
Natoa dawa buree, chukua mdizi mbichi 5, zikate nusu kwa nusu (kiurefu)

Zianike juani mpaka zikauke,kisha zitwange mpaka ziwe unga

Utakuwa unatumia katika chai isiyo na sukari (kijiko kikubwa 1) ×3

Ikiisha tengeneza tena, nitatoa dawa nyingine
 
Back
Top Bottom