Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani

Njoo ofsini kwetu dar upate tiba ndan ya siku saba tatizo lako litaondoka na halitarud tena hii tiba lishe imewaponya watu wengi,dawa za hospitalin zinatuliza tu,baada ya siku saba utaenda hospital kwa check up na utakuta upo normal
 
Pole mkuu.

Huku ukiendelea na tiba za hospital,jaribu na hizi;
Haya ni majani ya mti Fulani ambao una kama vijiti mithili ya vimiba.

View attachment 2003555

Pia jaribu mbegu ya parachichi.
Lile kokwa lake unasaga halafu unatengeneza kwa kuchabganya na maji ya moto.
Kunywa asubuhi na jioni.

Ukiwa unafanya hayo, jitahidini kula Kwa wakati.
Pia angalia vyakula unavyokula,viwe laini.

Mwisho nakushauri muombe Mungu akuponye.

Mimi nilitumia hayo yote na ndani ya mwezi mmoja tu nilipona vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya yanaitwa mashika nguo, yana harufu mbayaaa ila wanasema yabatibu vidonda eti unayatwanga unaweka maji unachuja na kunywa
 
Pole sana, natumae mleta mada ulipata muongozo...
 
Pole mkuu.

Huku ukiendelea na tiba za hospital,jaribu na hizi;
Haya ni majani ya mti Fulani ambao una kama vijiti mithili ya vimiba.

View attachment 2003555

Pia jaribu mbegu ya parachichi.
Lile kokwa lake unasaga halafu unatengeneza kwa kuchabganya na maji ya moto.
Kunywa asubuhi na jioni.

Ukiwa unafanya hayo, jitahidini kula Kwa wakati.
Pia angalia vyakula unavyokula,viwe laini.

Mwisho nakushauri muombe Mungu akuponye.

Mimi nilitumia hayo yote na ndani ya mwezi mmoja tu nilipona vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kokwa la parachichi unalitwanga halafu unachanganya na maji ya uvuguvugu au!?

Hivi kuwa na gesi tumboni, na vidonda vya tumbo, ni vitu tofauti au
 
Kokwa la parachichi unalitwanga halafu unachanganya na maji ya uvuguvugu au!?

Hivi kuwa na gesi tumboni, na vidonda vya tumbo, ni vitu tofauti au
Ndiyo mkuu,

Unaweza kuwa na gesi tumboni na usiwe na vidonda vya tumbo lakini tatizo la vidonda mara nyingi huambatana na hjyo shida ya gesi.
 
Janja janja nyingi sana, ofcn kwenu ndio wapi sasa pugu dampo au Vingunguti machinjioni au aje gamboshi?

Nan kakufanyia janjajanja ?aje inbox apewe utaratibu ,tatzo watanzania ni wabishi sana
 
Janja janja nyingi sana, ofcn kwenu ndio wapi sasa pugu dampo au Vingunguti machinjioni au aje gamboshi?

Mwambie kama yupo
Dar aje ,ndan ya siku 5 vidonda vya tumbo vinapona kabisa na asipopona tunamrudishia pesa yake gharama ni kuanzia 230,000/= unatoa hela unapewa dawa ana kwa ana.
 
Jaribu hii....
Screenshot_20220217-171223.jpg
 
Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
Inaweza kupelekea kupata concer ya utumbo na kufanyiwa upasuaji nk.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi Gombeyehealthcare kwa namba
+255 678 211 747
+255 733 482 038
Tunapatikana Dar es salaam ILALA.
 
Ukiwa unaenda ubungo kuna kituo kinaitwa garage ndo unashukia hapo
Kuna sheli ya Victoria , achana nayo fuata barabara kuelekea kanisa la Roman .

Ni miaka mingi imepita nilienda 2012 so unaweza kukuta wamehama hapo ila ulizia hospital nzuri utapata. Mimi nimesahau kabisa kama nilipata ulcers nakula kila kitu .
Duh
Walikuwa dawa gani,au za asili?
 
Pole mkuu.

Huku ukiendelea na tiba za hospital,jaribu na hizi;
Haya ni majani ya mti Fulani ambao una kama vijiti mithili ya vimiba.

View attachment 2003555

Pia jaribu mbegu ya parachichi.
Lile kokwa lake unasaga halafu unatengeneza kwa kuchabganya na maji ya moto.
Kunywa asubuhi na jioni.

Ukiwa unafanya hayo, jitahidini kula Kwa wakati.
Pia angalia vyakula unavyokula,viwe laini.

Mwisho nakushauri muombe Mungu akuponye.

Mimi nilitumia hayo yote na ndani ya mwezi mmoja tu nilipona vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo majani nimeamua kuachana nayo,sbb kupata ni sio rahisi!

Nini kilikuponya? Majani,au mbegu ya parachichi?
 
Nunua Heligo Kit and thank me later
okay,nimeiona hii dawa ni vidonge!
Dose yake ni elf 70 pharmacy, vibox 2 kila kimoja ni elf 35 kwa siku 14! Serikalini unapata kwa elf 60!

Cha ajabu nimekutana na watu 2 ambao wamepona na hii walivyoniambia!

Ila mwingine haijamsaidia!
Nashangaa sana!
 
Hata mimi nakumbuka mwenye vidonda anaambiwa anywe maziwa fresh, lakini wanasema mtindi una bacteria wanaosaidia kurudisha ecosystem iliyopo tumboni na kufight against bacteria wanaharibu kuta za tumbo.
Yes,maziwa fresh hayatakiwi,mtindi ndo unatakiwa
Watu wengi hawaelewi
 
Kokwa la parachichi unalitwanga halafu unachanganya na maji ya uvuguvugu au!?

Hivi kuwa na gesi tumboni, na vidonda vya tumbo, ni vitu tofauti au
Gesi ni moja ya dalili ya vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom