Usikae na Njaa, usile vituvigumu, acha vinywaji vyenye gesi-soda na Rafiki zake.
Pendelea kunywa mtindi, asubuhi kunywa maji ya bamia(kata vipande vidogo vidogo vya bamia safi viloweke kwenye maji Usiku, asubuhi chuja na unywe.
Hata mimi nakumbuka mwenye vidonda anaambiwa anywe maziwa fresh, lakini wanasema mtindi una bacteria wanaosaidia kurudisha ecosystem iliyopo tumboni na kufight against bacteria wanaharibu kuta za tumbo.Mtindi atapiga yoweeee... Ila maziwa FRESH Ni sana
Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
Haya yanaitwa mashika nguo, yana harufu mbayaaa ila wanasema yabatibu vidonda eti unayatwanga unaweka maji unachuja na kunywaPole mkuu.
Huku ukiendelea na tiba za hospital,jaribu na hizi;
Haya ni majani ya mti Fulani ambao una kama vijiti mithili ya vimiba.
View attachment 2003555
Pia jaribu mbegu ya parachichi.
Lile kokwa lake unasaga halafu unatengeneza kwa kuchabganya na maji ya moto.
Kunywa asubuhi na jioni.
Ukiwa unafanya hayo, jitahidini kula Kwa wakati.
Pia angalia vyakula unavyokula,viwe laini.
Mwisho nakushauri muombe Mungu akuponye.
Mimi nilitumia hayo yote na ndani ya mwezi mmoja tu nilipona vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kokwa la parachichi unalitwanga halafu unachanganya na maji ya uvuguvugu au!?Pole mkuu.
Huku ukiendelea na tiba za hospital,jaribu na hizi;
Haya ni majani ya mti Fulani ambao una kama vijiti mithili ya vimiba.
View attachment 2003555
Pia jaribu mbegu ya parachichi.
Lile kokwa lake unasaga halafu unatengeneza kwa kuchabganya na maji ya moto.
Kunywa asubuhi na jioni.
Ukiwa unafanya hayo, jitahidini kula Kwa wakati.
Pia angalia vyakula unavyokula,viwe laini.
Mwisho nakushauri muombe Mungu akuponye.
Mimi nilitumia hayo yote na ndani ya mwezi mmoja tu nilipona vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Janja janja nyingi sana, ofcn kwenu ndio wapi sasa pugu dampo au Vingunguti machinjioni au aje gamboshi?Aje ofsini kwetu apate tiba,usiwe zuzu rafiki mtu yupo kwenye severe pain wewe unafanya masihala na afya za watu,shame upon you
Ndiyo mkuu,Kokwa la parachichi unalitwanga halafu unachanganya na maji ya uvuguvugu au!?
Hivi kuwa na gesi tumboni, na vidonda vya tumbo, ni vitu tofauti au
NdiyoHaya yanaitwa mashika nguo, yana harufu mbayaaa ila wanasema yabatibu vidonda eti unayatwanga unaweka maji unachuja na kunywa
Janja janja nyingi sana, ofcn kwenu ndio wapi sasa pugu dampo au Vingunguti machinjioni au aje gamboshi?
Janja janja nyingi sana, ofcn kwenu ndio wapi sasa pugu dampo au Vingunguti machinjioni au aje gamboshi?
Naomba cancer usiitajePole sana aisee jamani vidonda vya tumbo vinatesa mnoo yan bora hata sijui nisema ugonjwa gani kuliko vidonda vya tumbo[emoji26][emoji1487]
Inaweza kupelekea kupata concer ya utumbo na kufanyiwa upasuaji nk.Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
DuhUkiwa unaenda ubungo kuna kituo kinaitwa garage ndo unashukia hapo
Kuna sheli ya Victoria , achana nayo fuata barabara kuelekea kanisa la Roman .
Ni miaka mingi imepita nilienda 2012 so unaweza kukuta wamehama hapo ila ulizia hospital nzuri utapata. Mimi nimesahau kabisa kama nilipata ulcers nakula kila kitu .
Hayo majani nimeamua kuachana nayo,sbb kupata ni sio rahisi!Pole mkuu.
Huku ukiendelea na tiba za hospital,jaribu na hizi;
Haya ni majani ya mti Fulani ambao una kama vijiti mithili ya vimiba.
View attachment 2003555
Pia jaribu mbegu ya parachichi.
Lile kokwa lake unasaga halafu unatengeneza kwa kuchabganya na maji ya moto.
Kunywa asubuhi na jioni.
Ukiwa unafanya hayo, jitahidini kula Kwa wakati.
Pia angalia vyakula unavyokula,viwe laini.
Mwisho nakushauri muombe Mungu akuponye.
Mimi nilitumia hayo yote na ndani ya mwezi mmoja tu nilipona vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
okay,nimeiona hii dawa ni vidonge!Nunua Heligo Kit and thank me later
Yes,maziwa fresh hayatakiwi,mtindi ndo unatakiwaHata mimi nakumbuka mwenye vidonda anaambiwa anywe maziwa fresh, lakini wanasema mtindi una bacteria wanaosaidia kurudisha ecosystem iliyopo tumboni na kufight against bacteria wanaharibu kuta za tumbo.
Gesi ni moja ya dalili ya vidonda vya tumboKokwa la parachichi unalitwanga halafu unachanganya na maji ya uvuguvugu au!?
Hivi kuwa na gesi tumboni, na vidonda vya tumbo, ni vitu tofauti au