Kizazijeuri
Member
- Sep 1, 2021
- 66
- 20
Wanaweza wakawepo ila kwa uchache sana na idadi yao isikidhi mahitaji ya jeshi kwa ujumlaSina uhakika na hii ,coz kuna vijna wa kujitolea wanataaluma za engineering, uhasibu,elimu na zingine kasolo za afya ,,ngoja tuone aisee
Wakt nasikia vijana ka 3014 wanaripoti rts Kihangaiko kuanzia trh 23 nov ,na watapokelewa ,hyo nasikia ni taarifa ya ukweli eti ,Yote ya Yote nafasi za Jw zikitoka tu hata kama wasipotaka wa uraiani tushtuane tu...Yani ijulikane tu kuwa zimetoka basi inatosha kuhangaika Hadi kieleweke...Cha muhim wakuu tushtuane zikitoka nafasi za ajira JW
Wakt nasikia vijana ka 3014 wanaripoti rts Kihangaiko kuanzia trh 23 nov ,na watapokelewa ,hyo nasikia ni taarifa ya ukweli eti ,
Eeeeh broooNi miongoni mwa hizo ajira mpya????
Eeeeh brooo
Lkn nasikia hawa 3014 WAKUJITOLEA walioko kwenye miradi,Ni miongoni mwa hizo ajira mpya????
Sio poa aiseeeeeAlooo tutasaga meno chini....
Lkn nasikia hawa 3014 WAKUJITOLEA walioko kwenye miradi,
Mkuu usiigope Kama riziki ipo ipo tu Cha msingi uzima n Imani.Hio idadi ni kubwa sana inakatisha moyoo....hata wakija uraiani huenda wakabeba wachache san
Mkuu usiigope Kama riziki ipo ipo tu Cha msingi uzima n Imani.
Vipi misitu ?Update
Uraiani pia watachukua wataalamu....afya,elimu,engeneers na wahasibu pia...
Vp IT na computer science
Wanaripot aje na taarifa hatujazisikia kutangazwa au ndo Siri?Wakt nasikia vijana ka 3014 wanaripoti rts Kihangaiko kuanzia trh 23 nov ,na watapokelewa ,hyo nasikia ni taarifa ya ukweli eti ,
Wanaripot aje na taarifa hatujazisikia kutangazwa au ndo Siri?
😄😄kijana una morali😁 ya hatarii..Cha muhim fanya mambo mengine huku unasikilizia yakitoka sawah yasipotoka endelea kupambana maana hakuna Namna Mungu atafungua njia tuWakuu jaman magereza wanatuzingua sana.....inamaana hawayapati haya malalamiko.??? Au ni dharau tuu[emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji2363]
ila Cha muhim ngoja tusikilizie hii miezi ya mwishon..japo naona km hawatatangaza maana Kuna wajesh wanamalzia kozi c mda msata paleDah mimi pia nashindwa kuielewa hii taarifa aiseee...