fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Wazee kwa kuingia JWTZ kutokea mtaani tumepigwa na kitu kizito kichwani
Kuna ambao wameshaenda huko geshini waliokuwa vikosini ka mia mbili the rest mpaka January itatoka hyo ya fungulia mbwaHivi itakuwaje wakatoa nafasi Jwtz na hapohapo magereza wamekuchagua mkuu...unaweza kuacha hiyo nafasi au haiwezekani kuacha kama ulichaguliwa magereza tayar?
Ni kweli walikuwa wanataka Wanataaluma.Kama ulisoma tangazo vizuri walitangaz wenye degree,certificate, na diploma
Kama ni hvyo haina shida tusubir tuone mbichi na mbivu kwa wakati sahihiKuna ambao wameshaenda huko geshini waliokuwa vikosini ka mia mbili the rest mpaka January itatoka hyo ya fungulia mbwa
Interview za vyombo vya ulinz hawacimplicate hapo ni vyeti na damu tuMKUU Maswali ya interview mara nyingi ni haya hapa kuna mwamba naona kayaweka hapa
Kilimanjaroyetu: interview guideline
kilimanjaroyetu.com helps students to find college admission information, course, school etc. This website helps students identify the degree programs offered by universities in Tanzania, as well as academic information provided by international universities inclusion of; Science & Engineering...www.kilimanjaroyetu.com
Iyo sahau bora uendelee na mambo mengine tu kk ,,,ukifungwa ukurasa umefungwa ,yaani hapo wanabaki wakuu mbalimbali kugawana nafasi za ndugu zao na watoto wao ,tusio na watu hatuna chetuKuna ambao wameshaenda huko geshini waliokuwa vikosini ka mia mbili the rest mpaka January itatoka hyo ya fungulia mbwa
Na hii nilitabiri jana ,aisse mmae tusiio na watu tunashida sana aiseeMie binafsi kwa mtazamo wangu Naona hakuna jambo ,zaidi kujikita kutoa onyo au vitisho kwa watu wanaotaka kuwasaidia watu kupata nafasi chomboni, au kuepuka matapeli wanaotaka kuwasaidia kupata nafasi chomboni, labda na kuongelea masuala ya usalama, ila kutangaza neema tusahau ... naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi ni mtazamo wangu binafsi
Mimi nasemea Kuna ambao wameshaenda tayari huko nyie wengine sunirieni za gombania goal.Iyo sahau bora uendelee na mambo mengine tu kk ,,,ukifungwa ukurasa umefungwa ,yaani hapo wanabaki wakuu mbalimbali kugawana nafasi za ndugu zao na watoto wao ,tusio na watu hatuna chetu
Mimi nasemea Kuna ambao wameshaenda tayari huko nyie wengine sunirieni za gombania goal.
N. B Mimi na majeshi mbingu na nchi na mnaotaka msikate tamaa aliwazalo mjinga ndio linalo mtokea
Sahiv vikosini vijana wa op makao wanaondoka kama nn kwa msg zinazoingia kutoka makao makuu kuripoti msata ,,watu wanatembea aisee ,,,we jifanye unasubria usahili wa jw utasubiri sana watu wanaondoka sahv vikosini wenye mibuyu yao , wanatembea msata wanabaki ambao hawana watu aisee sio poaMimi nasemea Kuna ambao wameshaenda tayari huko nyie wengine sunirieni za gombania goal.
N. B Mimi na majeshi mbingu na nchi na mnaotaka msikate tamaa aliwazalo mjinga ndio linalo mtokea
Kwa taarifa walio na mifumo ndo wanaondoka sahv aiseeSahiv vikosini vijana wa op makao wanaondoka kama nn kwa msg zinazoingia kutoka makao makuu kuripoti msata ,,watu wanatembea aisee ,,,we jifanye unasubria usahili wa jw utasubiri sana watu wanaondoka sahv vikosini wenye mibuyu yao , wanatembea msata wanabaki ambao hawana watu aisee sio poa
Kwa taarifa walio na mifumo ndo wanaondoka sahv aisee
Nakazia hili swaliHivi kwenye usahili ni vizuri kama una ndevu Hadi timba limezunguka USO inabidi ukate zote uwe kama mtoto[emoji1][emoji848]...nauliza naombeni nijibiwe kwa yule ambaye anauelewa juu ya hili katika usahili maana vitu vidogo vidogo lakini naamini vinaweza kuwa na effect kubwa au lah..kwahyo ni Bora tushare mawazo kwa pamoja
ni vizuri ukanyoa hiyo midevu kwa style ya kawaida tu ya kifaza au ukatoa kabisa.Nakazia hili swali
Aisee, kwanini uende kwenye usaili wakati haujaitwa?Inawezekana ujaitwa kwenye usahili na ukaamua kwenda ivo ivo ..Liwaloo na liwee uko uko
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhali
.
duuh sio poa aiseeInterview yao no zoezi tu unaweza ukakimbizwa 1.1 km...nilishawahi kuona pale kibaha aisee warembo walitoka barutiiii yaan wigi Lina pepea peeeeeeeeee