Msaada interview za Jeshi la Magereza

Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum

Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini


All the best wadau [emoji120][emoji120]
Fafanua mambo, all the best kuhusu nini.
 
Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum

Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini


All the best wadau [emoji120][emoji120]

wewe jamaa nakuombea sana kwa mungu aisee akufanyie wepesi ufike mbali zaidi ukalete mabadiliko kwenye jeshi letu la magereza

UPO VIZURII MKUU,I APPRECIATE YOU[emoji1320][emoji1320]
 
Tar 10 leo holaaa duuh [emoji2363][emoji2363][emoji2363]

Ngoja tuone kesho tarehe 11 mkeka unaweza ukatoka mungu akipenda
 
Sema Magereza nao wameyumba aisee au wewe unaonaje maana naona kama huu uzi tumebaki sisi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…