Msaada interview za Jeshi la Magereza

Sina kaka
Huu uzi sema wakati unaanza kulikuwa kuna watu wengi sana kwahyo taarifa na lonja za kila eneo ilikuwa ni uhakika kupata

Ila sema ndio hivyo wamekatwa mabogi ndio wanamalizia Kiwira wengine wako ccp tanpol wengine uhamiaji tanga yaani inshort tumebaki wachache sana so ni ngumu kujua

Au kama kuna mtu anaishi karibu na gereza ulioombea nafasi muulize kama aliona vijana wengi na mabahasha au mabegi au askari magereza unaemjua muulize kama waliitwa watu ilo eneo
Hata ofisi ya mkuu wilaya

Kama jibu ni hapana ,hawajaona ,au sijui basi either bado zamu yenu hivyo inabidi usubiri
 
Kabisa tumebaki wachache sana
 
Kuna baba kantuma anasema usaili nimeambiwa niende au hata usipoenda lkn kaamua kwenda na wameniacha anakwambia ila Depo lazima aende alishapigishiwa juu..
 
Oyaa wadau hivi mkeka wa kwenda kiwira kwa wasio na fani tulio apply kwenye gereza la wilaya husika nao utatoka online?
 
Reactions: SHT
Yeyote yule anaenda ? Au mpka muwe madaktari na ma engineer ?
 
Mniombee kesho napewa jibu mapoti
Mbna fatiki bado hazijaanza mkuu
 
Daah kuna watu wanachezea bahati hizo nafasi tungezipata sisi walalahoi sidhani kama tungekimbia bora ufie kwenye mafunzo lakini sio urudi huku mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…