Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Sina kaka
Huu uzi sema wakati unaanza kulikuwa kuna watu wengi sana kwahyo taarifa na lonja za kila eneo ilikuwa ni uhakika kupata

Ila sema ndio hivyo wamekatwa mabogi ndio wanamalizia Kiwira wengine wako ccp tanpol wengine uhamiaji tanga yaani inshort tumebaki wachache sana so ni ngumu kujua

Au kama kuna mtu anaishi karibu na gereza ulioombea nafasi muulize kama aliona vijana wengi na mabahasha au mabegi au askari magereza unaemjua muulize kama waliitwa watu ilo eneo
Hata ofisi ya mkuu wilaya

Kama jibu ni hapana ,hawajaona ,au sijui basi either bado zamu yenu hivyo inabidi usubiri
 
Kabisa tumebaki wachache sana
 
Kuna baba kantuma anasema usaili nimeambiwa niende au hata usipoenda lkn kaamua kwenda na wameniacha anakwambia ila Depo lazima aende alishapigishiwa juu..
 
Oyaa wadau hivi mkeka wa kwenda kiwira kwa wasio na fani tulio apply kwenye gereza la wilaya husika nao utatoka online?
 
  • Thanks
Reactions: SHT
Sema wazee JWTZ naona kufidia zile nafasi za watu wanaokimbia Makutupora, sasa hivi wanakuuliza kwanza kama unapenda jeshi,naona wanasaka watu kinyama.

Kama una mbuyu mtafute akuunganishe, leo tu nina washikaji zangu kama nane hivi wamepigiwa simu walipoti Makutupora mwisho Jumatano.

Maana kule Kozi inashindwa kuanza mpaka watu wote watimie na CDF akahutubie mara ya mwisho kuwaaga.

Naona mazoezi hayajaanza ila watu wanakimbia hivyo,je ya kianza itakuaje.?
Yeyote yule anaenda ? Au mpka muwe madaktari na ma engineer ?
 
Mniombee kesho napewa jibu mapoti
Ni madaktari na mainjinia tu.

Hata watu wa VETA wapo kuanzia certificate hadi level 4.

Maana hili ni kundi la watu Special wanasema.

Kama umesomea mambo ya ufundi na afya uhakika, ila kama umepiga Kozi nyingine inabidi uwe na mbuyu kweli kweli,kuanzia zile level za brigedia kwenda juu. Maana kuna mshikaji kasoma BBA na yeye yupo Makutupora now.

Ila maisha haya,washikaji zangu watatu tu ndo wanataka kwenda.Wengine watano hawaendi na wala hawataki kupasikia. Hii ni baada ya washikaji zetu wawili walienda juzi kati,wakatoroka wiki ya kwanza tu.
Mbna fatiki bado hazijaanza mkuu
 
Daah kuna watu wanachezea bahati hizo nafasi tungezipata sisi walalahoi sidhani kama tungekimbia bora ufie kwenye mafunzo lakini sio urudi huku mtaani
 
Back
Top Bottom