Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Huu uzi sema wakati unaanza kulikuwa kuna watu wengi sana kwahyo taarifa na lonja za kila eneo ilikuwa ni uhakika kupataSina kaka
Ila sema ndio hivyo wamekatwa mabogi ndio wanamalizia Kiwira wengine wako ccp tanpol wengine uhamiaji tanga yaani inshort tumebaki wachache sana so ni ngumu kujua
Au kama kuna mtu anaishi karibu na gereza ulioombea nafasi muulize kama aliona vijana wengi na mabahasha au mabegi au askari magereza unaemjua muulize kama waliitwa watu ilo eneo
Hata ofisi ya mkuu wilaya
Kama jibu ni hapana ,hawajaona ,au sijui basi either bado zamu yenu hivyo inabidi usubiri