Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usitufokeee blaza punguza jazba
Nawakumbusha haya maisha usidharau kazi ya mwenzio, leo hali tete watu wanatamani kulinda wafungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna nyuzi nyingi tu humu mi binafsi huwa nawatetea sana askari kuna wakati wadau wa humu waliniita Polisi mara askari Magereza n.k lakini yote walikuwa wananiponda, mimi sio askari lakini niliyabeba yote hayo. Watanzania heshimuni kazi za wenzenu
 
Hata hivyo muitikio bado mdogo watu hawalipendi ktk interview zote magereza wana watu wachache

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unajipa moyo tu. Umetembea nchi yote umeona watu ni wachache? Utaona kama nafasi zitabaki, na kama wewe unafanya usaili utaona jinsi utakavyopata shida kuipata hyo nafasi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Division 1 mpka 3 na four ya 26 kama sikosei wamekatwa magereza wilaya Tanga mjini

Haya majeshi hawataki aliyefaulu [emoji1787][emoji1787]

Watu wanne tu ndio wanatakiwa ktk kundi la watu 50 hapo karanga kama watatu wamekuja nao kufanya usaili na hapo hapo wanapewa kazi ya kuwapanga mistari nyie [emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaaa, mkuu maisha haya bwana,walioponda polis leo ndio wanahaha kuitafuta
 
Unajipa moyo tu. Umetembea nchi yote umeona watu ni wachache? Utaona kama nafasi zitabaki, na kama wewe unafanya usaili utaona jinsi utakavyopata shida kuipata hyo nafasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Najipa moyo vipi wakati sihusiki na huo usaili ?

Wachache sana watu jirani zangu wametoka kwenye usaili wamenipa info

Police walikuwa wengi mnooo hata kama hamna ajira watu hawalipendi sema ni njaa kitaa kinachosha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujuaji wangu upi?

Embu kidogo nifafanulie hio kauli

Of course ukiwa na elimu unakua na cheo na jeshi viongozi wengi wanataka hawa wadogo ndio maana nasikia hata hao waliofaulu wamekatwa .. wasomi wajuaji sana wana jeuri wanasema

Hata walioenda kwenye usaili magereza wameambiwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Katika siku nimechanganyikiwa ni Leo maana me nasubiria niitwe kumbe watu wamesha itwa tyali [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daaaaah ukisikia Hadi Dunia inakukataa ndio hii Sasa
 
Ngoja nkuambie boss....kama umeombea morogoro na bado upo huko jaribu kwenda hapo ulipoombea ukawaulize kama washapiga usaili....usikate tamaa mapema sababu sio wilaya zote zilizomaliza usaili nyengine bado hazijaanza kabisa
 
sahh, vp wa fani bado?
 
Kuna demu ana degree ya education physics and chemistry ni Tall hatari na ana cheti cha JKT vip watu kama hawa msoto wao unakuwaje hasa kivyeo
Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Polisi tayari huko, huku Kwa MT hata watu walioomba Kwa Fani (Degree) hatujui kinaendelea nn dah!!!
 
Back
Top Bottom