Twyn
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 993
- 550
Kuna mdau amesema form 6 wote wameliwa vichwa
Lazima waliwe vichwa sababu hawajatakiwa kwenye tangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdau amesema form 6 wote wameliwa vichwa
Waliwaita wa nini sasaKuna mdau amesema form 6 wote wameliwa vichwa
Hata form 4 waliotakiwa Div 1,2,3 hata 4 ya 26 mpka 27 wameliwa vichwaLazima waliwe vichwa sababu hawajatakiwa kwenye tangazo
Hata form 4 Kama umefaulu unaliwa kichwa[emoji16][emoji16] swali rahisi tu je kuna form 6 aliefeli form 4?
[emoji16][emoji16]
Nawakumbusha haya maisha usidharau kazi ya mwenzio, leo hali tete watu wanatamani kulinda wafungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usitufokeee blaza punguza jazba
Unajipa moyo tu. Umetembea nchi yote umeona watu ni wachache? Utaona kama nafasi zitabaki, na kama wewe unafanya usaili utaona jinsi utakavyopata shida kuipata hyo nafasi[emoji23][emoji23][emoji23]Hata hivyo muitikio bado mdogo watu hawalipendi ktk interview zote magereza wana watu wachache
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatimaye wanaenda kula matapishi yao wenyewe[emoji1][emoji1][emoji1] kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.
Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.Division 1 mpka 3 na four ya 26 kama sikosei wamekatwa magereza wilaya Tanga mjini
Haya majeshi hawataki aliyefaulu [emoji1787][emoji1787]
Watu wanne tu ndio wanatakiwa ktk kundi la watu 50 hapo karanga kama watatu wamekuja nao kufanya usaili na hapo hapo wanapewa kazi ya kuwapanga mistari nyie [emoji1787]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hahahaaa, mkuu maisha haya bwana,walioponda polis leo ndio wanahaha kuitafutaWanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Najipa moyo vipi wakati sihusiki na huo usaili ?Unajipa moyo tu. Umetembea nchi yote umeona watu ni wachache? Utaona kama nafasi zitabaki, na kama wewe unafanya usaili utaona jinsi utakavyopata shida kuipata hyo nafasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujuaji wangu upi?Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Katika siku nimechanganyikiwa ni Leo maana me nasubiria niitwe kumbe watu wamesha itwa tyali [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daaaaah ukisikia Hadi Dunia inakukataa ndio hii Sasa
sahh, vp wa fani bado?Ngoja nkuambie boss....kama umeombea morogoro na bado upo huko jaribu kwenda hapo ulipoombea ukawaulize kama washapiga usaili....usikate tamaa mapema sababu sio wilaya zote zilizomaliza usaili nyengine bado hazijaanza kabisa
Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]