Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kama uliombea Makao makuu?
Kama uliombea makao makuu...mkeka si wameutoa Jana...kwahiyo utacheki mkeka ulitumwa online....kwahyo utafute utaupata maana niliuona lakini siku deal nao aidha ningekutumia hapa
 
It means magereza wameshatoa majina mbona sijayaona ?????Kama Kuna mwenye info aje atueleatupatie
 
Nashangaa watu mnaulizia mkeka wakati watu wameshapigiwa simu na toka Jana wameanza kuripoti chuoni KIWIRA MBEYA. wengi wamechukuliwa kutoka makambi ya jkt
 
kwa kidato cha 4 usaili songea ulikua juz, vijana walikua 5 ikabidi wengine wakachukuliwe kambini mlale jumla wakawa 17, hyo ni ngazi ya mkoa, majibu waliambiwa yatatoka pamoja na majina ya wenye fani
 
Tunashukuru kwa update kaka safi sana kwa kutoa watu wasiwasi [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Waziri amesema wasomi hawafai kuwa walinzi[emoji23] kaka we nenda mtaani tafuta hela utanishukuru
Sasa wanasema hawataki wasomi kwenye tangazo leo wanatangaza nini, Kama sio kuharibu pesa za mwananchi, wawe wanasema tunataka tu waliofeli inajulikana.
 
Kama uliombea makao makuu...mkeka si wameutoa Jana...kwahiyo utacheki mkeka ulitumwa online....kwahyo utafute utaupata maana niliuona lakini siku deal nao aidha ningekutumia hapa
Mkeka wa wapi mkuu Magereza or?
 
Back
Top Bottom