Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Jumaatatu imefika sasa....ngoja tuone hii week nayo itaishaje ....[emoji847][emoji847]
 
Ila Magereza ita dissapoint watu wengi sana sababu ya kuchelewa kwao kutoa majina,,,wengine hatuna la kufanya tunawasubir wao muda wote huuu halafu sasa majina yatoke tusiwepo duuuh hapo ndipo balaa linaanzaa...[emoji2363][emoji2363][emoji2363]

Bora watoe watu tujue moja kama ni yes or no
 
Ww unajua intake ngapi zimestafu? Unajua magufuli hajaajiri intake ngap?

Tena elfu kumi ndogo sana

ngoja tuone..[emoji2363][emoji2363]

Elfu10......unaijua elfu 10 lakini kwa idadi ya watu sio kwa maneno tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wajumbe wa ubongo wangu hawakubaliani na wewe kabisaaaaa.......
 
Ila Magereza ita dissapoint watu wengi sana sababu ya kuchelewa kwao kutoa majina,,,wengine hatuna la kufanya tunawasubir wao muda wote huuu halafu sasa majina yatoke tusiwepo duuuh hapo ndipo balaa linaanzaa...[emoji2363][emoji2363][emoji2363]

Bora watoe watu tujue moja kama ni yes or no
Wewe unalia na magereza tu, basi ngoja leo nikwambie kitu kuhusu magereza kama hawaja badilisha utaratibu wao.

Magereza huwa wanatabia ya kuwapeleka kozi watu wao wenye elimu kubwa baada ya kozi kuanza kule Kiwila/Kiwira Mbeya. Yaani wenye elimu ndogo 4m4 na 4m6 huwa wanatangulia wanafungua mafunzo alafu baada ya muda ndio wenye elimu kubwa wanakuja badae.

Hivyo kama hawaja badilisha hiyo system subiri sana kijana kuitwa sio leo wala kesho.
 
Kumbe ndio utaratibu wao....???lakin mbona hata hao form 4$6 mbona bado hawajatolewa tar ya kwenda kozi
 
Kumbe ndio utaratibu wao....???lakin mbona hata hao form 4$6 mbona bado hawajatolewa tar ya kwenda kozi
Tarehe bado ila wamesha pigiwa simu kwa wale walio chaguliwa. Ila kwa nyie wenye elimu kubwa subirini sana kama utaratibu wao bado ni ule ule. Sio ajabu wakaja kutoa tangazo upya la watu wenye fani
 
Tarehe bado ila wamesha pigiwa simu kwa wale walio chaguliwa. Ila kwa nyie wenye elimu kubwa subirini sana kama utaratibu wao bado ni ule ule. Sio ajabu wakaja kutoa tangazo upya la watu wenye fani
Nlisikia hata hao wa elimu ya juu washapigiwa simu
 
Nlisikia hata hao wa elimu ya juu washapigiwa simu

Hahahahaha dah aisee haya mambo haya yanaenda kienyeji balaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama nao walishapigiwa duuuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nlisikia hata hao wa elimu ya juu washapigiwa simu
Hawa hawajaitwa hata kwenye usaili ndio maana namwambia kijana hapo juu awe mvumilivu kama system yao bado ni ile ile ya kuwapeleka mafunzoni baada ya kozi kuanza.
 
Hahahahaha dah aisee haya mambo haya yanaenda kienyeji balaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama nao walishapigiwa duuuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kuwa mvumilivu wenye elimu za juu hakuna aliye pigiwa simu hata mmoja maana hata majina yao ya usaili bado hayajatoka.
 
Kuwa mvumilivu wenye elimu za juu hakuna aliye pigiwa simu hata mmoja maana hata majina yao ya usaili bado hayajatoka.

Anhaaa apo nimeelewa sasa maana jamaa apo juu alikua kashanchanganya aliposema wenye elimu pia washaanza kupigiwa simu
 
Siku zote jeshi hawawi specific, elewa wakisema ajira 6000 ujue ni zaid ya hapo. Hili la elfu kumi sikatai, inaweza ikawa na ukweli ndani yake. Tusubirie

Af kingine vip kuhusu zile za PT, bado kuna watu wa online hawajapigiwa simu, kuna mtu alisema watakuja na mkeka wa watu 700
Jw nasikia sikia tu nafasi zao 6k-8k eti sijui ukwl
 
Anhaaa apo nimeelewa sasa maana jamaa apo juu alikua kashanchanganya aliposema wenye elimu pia washaanza kupigiwa simu
Nami navyojua magereza bado hawajatoa mkeka wa vijna wa elimu kwa ajili ya usahili,....VP na Pccb mkeka wao bado
 
Mbona nasikia nafasi ni kwny 6k-8k ,,kuna uwezekano wa kozi wakapiga cjui msta na orjolo eti ,, lkn hizi 3114 naskia ni wale waliokuwa kwenye miradi na wanaweza tembea kuanzia kesho kwenda msata eti ,navyosikia eti kuna bogi la pili ndo wanaweza kwnda orjolo ,, tujulishane weny vitaarifa ...maana nasikia 2017 Magufuli alitangaza nafas 3k za jeshi lkn nasikia walipiga 5k na kozi zilizokuwa orjolo na msata, huwa wanaongeza ,ukisikia 4k ajira hapo idadi halisi inaweza kuwa 6k-8k ,nimewanyooshea mikono jwtz ka hv
Ndo yako hivyo mm ndo najua hivyo
 
interview ya wenye fani ishagafanyika kitambo kimyakimya. walipita na vyuoni kama Mbeya university
 
Amini nakwambia hyo idadi haipo kama huamni muda utaongea

Haipo na haiwezikuwepo.....kwanza kwa hata ukiwauliza askari walio vikosini wengine ni Officer kabisa lakini wanasema ajira kuchukuliwa uraiani jw mwaka huu hawajui...

Ko probably hao walioenda RTS ndio haohao hakuna wengine
 
Back
Top Bottom