Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€safi sana hata harmorapa alianza hivi hivi,,lakini nowdays ana-hit mpka MTV. komaa best yangu umchukue mtoto..
Thanks bro kwenye kumvisha pete utakua kwenye kamati ya ulinzi. Tuko pamoja joooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…