Ndo shida ya kumpenda usiyemjua, waweza kuta ni shangazi yako atiiNampenda sana
Mhuuuu eti kukulana aiseeeNakusihi achana na ndoto ndugu, huyu Numbisa ako na mume na watoto. Kama ni mtongozo wa kijf poa lakini kama ni wa kukulana Mmmh
Nini na wewe, au ndo ushanipenda!!Uuwiii.
We acha tuuTena alimuita amshauri.
Nina shangazi mmoja tu yupo hukooooo kolomije anavuna pamba na hajui hata kuandikaNdo shida ya kumpenda usiyemjua, waweza kuta ni shangazi yako atii
China ndo kuzur kwa kupelekaD kasema J burg haina ishu tena
KhaaaaaNi kazoefu haka
Ukamkulie kwao kabisaaMhuuuu eti kukulana aiseee
Wewe ulijua namfuata ki jf, nifaidike nini sasa.
Mm niko tayar kumfuata kwao stone town
Sihitaji kufa kifo cha kunyongwa joohChina ndo kuzur kwa kupeleka
Ngada kisingizio kushut video
[emoji134] [emoji134] [emoji35] cjui umekunywamods njoni huku huyu mtu apumzishwe tena hadi next week
Sio kumkula tu mimi namuweka ndani kabisa nampeleka kwa mama hukoooo muzye akale dagaa na migebukaUkamkulie kwao kabisaa
Numbisa ukuje huku
KoNini na wewe, au ndo ushanipenda!!
Jamaa ulimkosea nini maana ana chuki za waz kwako[emoji134] [emoji134] [emoji35] cjui umekunywa
Wap viroba
Unataka nirud korokoron
Familia yang inyanyaske
Shemela msaada hspa nipo matopen
KabsaaaaSi umeona mpaka katajwa
msaada gan tena jamaanShemela msaada hspa nipo matopen
[emoji35] [emoji35] labda mods wa kichinamimi si ndio mod ukizidisha ujanja nakutwanga ban