Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Nakusihi achana na ndoto ndugu, huyu Numbisa ako na mume na watoto. Kama ni mtongozo wa kijf poa lakini kama ni wa kukulana Mmmh
Mhuuuu eti kukulana aiseee
Wewe ulijua namfuata ki jf, nifaidike nini sasa.
Mm niko tayar kumfuata kwao stone town
 
Back
Top Bottom