Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Umempenda au umemtamani acha masihala watakuua Fanya kazi kijana watajileta wenyewe na si kwenye mtandao

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Amua mwenyewe tu kila mtu ana matatizo yake hapa tena ya msingi unaleta leta mapenzi wakati uwezo wa kuamua unao mwenyewe
 
Mnabishania nini, humu ni sehemu ya kutafutia wapenzi, acheni ukisema wa fikra, ndio maana wenzetu wanatupita mbali kwa kuwa wanajua kutumia mda wao fizuri kwenye mitandao ya kijamii. Sisi wabongo ni kutongozana tu hadi kufikia hatua ya kuomba ushauri jis ya kutongozana kwenye mitandao ya kijamii hii ni hatari sasa
 
Wewe mtoto ni kilaza na humu sio sehem ya vilaza peleka swali lako kule Insta. Maaana ndio saiz yenu

Sent from my HUAWEI VNS-L22 using JamiiForums mobile app
 
Nitumie namba ya huyo dada ,,, weekend ijayo unakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…