Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Pole

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
pole kwakuangukia kwenye penzi
labda huja fafanua je? mnafahamiana usokwa uso aundio kama ulivyosema yupo humu boy unawezaje kumpenda usiemjua hata kama nipicha niwangapi wanaweka picha zisizozao wala majina yasio yao au umeamua kutupima akili
ok msaada wangu kwako ni huu mtaje jina nitakusaidia kumtongoza kwaajili yako na hatakama unanamba zake za simu pia itarahisisha zaidi
 
We nawe huna sera.. upendo wake na chama vinahusiana vp.. acha uchochezi... Hovyooooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Mkuu, uchochezi sijaufanya mimi. Nilikuwa nauliza ili kukamilisha mapenzi ya mkuu wa nchi. Yamkini hukusikia alichokisema.
 
Anaitwa Numbisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…