Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Chemba kwa nini hivyo vya chemba ongea hapa hapa.
Hakuna wa kukudunda bhana,mwambieMwambie wew, mi nikiwaambia wanatoa povu, mara wananitishia kunidunda
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kabla ya kukupa msaada, tuambie wewe ni wa chama gani. Usije kuwa ni kutoka upinzani.
We nawe huna sera.. upendo wake na chama vinahusiana vp.. acha uchochezi... Hovyooooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
We jiongoze huku sio fb bhana aaaah!!!kama huna cha kupost we tulia sio lazima upost aiseeHongera zenu nyie msio vipofu wa fikra
Hujaitwa wala kulazimishwa kufungua hii postWe jiongoze huku sio fb bhana aaaah!!!kama huna cha kupost we tulia sio lazima upost aisee
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Anaitwa Numbisa mkuupole kwakuangukia kwenye penzi
labda huja fafanua je? mnafahamiana usokwa uso aundio kama ulivyosema yupo humu boy unawezaje kumpenda usiemjua hata kama nipicha niwangapi wanaweka picha zisizozao wala majina yasio yao au umeamua kutupima akili
ok msaada wangu kwako ni huu mtaje jina nitakusaidia kumtongoza kwaajili yako na hatakama unanamba zake za simu pia itarahisisha zaidi
Hebu kajifunze kuandika vzr ndio uje uhoji uozo wako hapaKiki hizo mwenyehilojina umemtarifu kamaunatumia jinalakekizembe
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Aikuuona huu utetezi wake aisee! Kumbe alilazimishwa tu kua na mimi? [emoji22][emoji22][emoji22]Sio kwa kujitetea huko jamani