[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji2] [emoji2] [emoji2]bora usimtangaze maana unaweza kuta ni demu wa mod! hapo ndipo utakapojua BAN haiuzwi!!
Jina linaanza na J halafu Caah mbona unachelewa wee mtaje na umtag kabisa aje ajionee pumba zako
Kijana mwenyewe muogaJina linaanza na J halafu C
Bwana mdogo watu wanasrma maneno mengi sana humu kikubwa nilitegemea wakushauri ila unapokea post kidogo tofauti
Tumpe ushauri tu si ndio kiu yake wakuu
Kijana mwambie tu ujumbe ufike akikataa utakua na akikubali pia utajua kuliko kuumiza nafsi yako bure
Ahsante kwa ushauri mkuu. Hauna mwingine ukaongezeaBwana mdogo watu wanasrma maneno mengi sana humu kikubwa nilitegemea wakushauri ila unapokea post kidogo tofauti
Tumpe ushauri tu si ndio kiu yake wakuu
Kijana mwambie tu ujumbe ufike akikataa utakua na akikubali pia utajua kuliko kuumiza nafsi yako bure
Basi ngoja nitaje tu haina jinsiKijana mwenyewe muoga
Basi ngoja nitaje tu haina jinsi
SANUMBI
Kama kawaida yako. Hivi inamaanisha nini hiyo picha
Nitaumia sana.unahisi ukimwambia akikataa utaoboka mahali?
Kama kawaida yako. Hivi inamaanisha nini hiyo picha
ila boraNitaumia sana.
Umemfananisha Mkuu. Huyu sio rayyoung!Mtoa Maada ni SHOGA
wengine ni wanaume wanatumia id na avatar za kike, yakikukuta utupe mrejesho. kuja taratibu humu, usiparamieHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Ndio afadhari nakaribia kumwambia. Nimepata ujasiriila bora
Kanifananisha tu ila haina jinsi yashaishaUmemfananisha Mkuu. Huyu sio rayyoung!
Huu ni ukweli mtupuAhsante kwa hilo, ila I have a feeling wewe ni Mondray....nipinge