Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Bwana mdogo watu wanasrma maneno mengi sana humu kikubwa nilitegemea wakushauri ila unapokea post kidogo tofauti

Tumpe ushauri tu si ndio kiu yake wakuu

Kijana mwambie tu ujumbe ufike akikataa utakua na akikubali pia utajua kuliko kuumiza nafsi yako bure
 
Ahsante kwa ushauri mkuu. Hauna mwingine ukaongezea
 
Basi ngoja nitaje tu haina jinsi
17076764_773488182800436_5602336030729437184_n.jpg

NIMEKUMBA WIMBO HUU.
Yupo jirani na kwetu, anayenifanya nawaza
Yupo jirsni na kwetu, anayenifanya na data (x2)
Verse
Nitakapo ficha maradhi mimi, kifo kitaniumbua aaha.
Lazima niwe muwazi mimi, ukweli nitamwambia ahaa.

My Motivation
 
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
wengine ni wanaume wanatumia id na avatar za kike, yakikukuta utupe mrejesho. kuja taratibu humu, usiparamie
 
Ahsante kwa hilo, ila I have a feeling wewe ni Mondray....nipinge
Huu ni ukweli mtupu
Huyu ni mondray 100% baada ya uchunguzi wa siku mbili hizi

Uhakika kabisaaa
 
Back
Top Bottom