Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

wengine ni wanaume wanatumia id na avatar za kike, yakikukuta utupe mrejesho. kuja taratibu humu, usiparamie
Hapana nina uhakika asilimia 99 ni msichana
 
I know my bebe mondray vizuri tu
Ni huyu huyu mwenye ID ya Ray van Boy

Mwanzo nilidhani ni yule shoga rayyoungr ila sio
Hahaaa yani sipend kufananishwa na hicho kiumbe basi tu. Ngoja niuchunie tu, Yes I am
 
Kwani wewe una muda mrefu hapa JF si umeingia juzi juzi tu sasa ni kipindi kipi ulimuanzishia huyo dada uzi? uzi huo ulihusu nini na ulikuwa wa lini?
Nimechanganya tu ila nimejiunga j2 kutokea Insta.Fb. na twita
 
Nitajitahid yaweza kua ni wew
Unamjua vema miss chagga? sio mdada wa mchezo mchezo naamanisha uhakikishe, una mapene sio mtu wa chips yai huyo, jipange sawa sawa ki fedha, hahahahahahahahaahahahaahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…