miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mwambieNdio afadhari nakaribia kumwambia. Nimepata ujasiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambieNdio afadhari nakaribia kumwambia. Nimepata ujasiri
Hapana nina uhakika asilimia 99 ni msichanawengine ni wanaume wanatumia id na avatar za kike, yakikukuta utupe mrejesho. kuja taratibu humu, usiparamie
Hahaaaa sio mimi ujue sema labda majina tu yana matchHuu ni ukweli mtupu
Huyu ni mondray 100% baada ya uchunguzi wa siku mbili hizi
Uhakika kabisaaa
aaa lile li ray young....vr boring kwa kweliOkay sorry nimekufananisha na punga fulani. Acha ni assume hii ID sio multiple IDs za Hilo punga. Nisamehe wewe
Dada chikara bwana mkwanja upo si msimu wa kuvuna maharage na mahindi iwachuUna hela?
Kkuna kipindi nilimuanzishia hadi uzi kabisamwambie
hahahahahahha, sawa go onDada chikara bwana mkwanja upo si msimu wa kuvuna maharage na mahindi iwachu
I know my bebe mondray vizuri tuHahaaaa sio mimi ujue sema labda majina tu yana match
jitahidiKkuna kipindi nilimuanzishia hadi uzi kabisa
Kwani wewe una muda mrefu hapa JF si umeingia juzi juzi tu sasa ni kipindi kipi ulimuanzishia huyo dada uzi? uzi huo ulihusu nini na ulikuwa wa lini?Kkuna kipindi nilimuanzishia hadi uzi kabisa
Hahaaa yani sipend kufananishwa na hicho kiumbe basi tu. Ngoja niuchunie tu, Yes I amI know my bebe mondray vizuri tu
Ni huyu huyu mwenye ID ya Ray van Boy
Mwanzo nilidhani ni yule shoga rayyoungr ila sio
Nimechanganya tu ila nimejiunga j2 kutokea Insta.Fb. na twitaKwani wewe una muda mrefu hapa JF si umeingia juzi juzi tu sasa ni kipindi kipi ulimuanzishia huyo dada uzi? uzi huo ulihusu nini na ulikuwa wa lini?
Nitajitahid yaweza kua ni wewjitahidi
hapana siyo mimiNitajitahid yaweza kua ni wew
Unaona sasa nikitaja mnanikataa sawa bwana labda hutaki kuja kuishi kwetu madalehapana siyo mimi
huna pesaUnaona sasa nikitaja mnanikataa sawa bwana labda hutaki kuja kuishi kwetu madale
Una uhakika mkuu au unataka zipige kelele ili usikiehuna pesa
Unamjua vema miss chagga? sio mdada wa mchezo mchezo naamanisha uhakikishe, una mapene sio mtu wa chips yai huyo, jipange sawa sawa ki fedha, hahahahahahahahaahahahaahahaNitajitahid yaweza kua ni wew
zinzao piaga kelele siyo.Una uhakika mkuu au unataka zipige kelele ili usikie