Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Mondray Chikira hua anaandika Chikara.
Na wewe unaandika hivyo hivyo.
Hahaaaaaaa umenifurahisha sana. Inaonyesha unamfuatiliaga maandishi yake huyo jamaa.
Btw. Sio mm
 
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Ni mwanamke kweli?
 
Sio mwanamke ni msichana mzuri
Wengine ni madume humu yana andika Kama watoto wa kike. Kuna mmoja somebody malecela Ana vicheko vya kike lakini nahisi ni mwanaume anatumia ID halisi.
 
Wengine ni madume humu yana andika Kama watoto wa kike. Kuna mmoja somebody malecela Ana vicheko vya kike lakini nahisi ni mwanaume anatumia ID halisi.
Unanitisha ujue
 
Yeah mliparuana na hicho kiumbe. Utakua umesahau tu ila mm nakumbuka
Hahahahaha nahisi nimeona uzi wako ukisema wewe ni memba mpya juzi, kumbe upo kitambo unatuchora hahahahaha
 
Hahahahaha nahisi nimeona uzi wako ukisema wewe ni memba mpya juzi, kumbe upo kitambo unatuchora hahahahaha
Mimi nimemba mpya joh sema nilihusishwa sana na mondray ndio ikabidi nimtafute nione post zake ili nimfahamu. Bahat nzuri ndio nikaona mlipo zinguana
 
Umemuonaje?! Na umejuaje ka n yy kweli?! Kma n picha umeona WAP?! Kma n prfl umempenda kwa prfl 1 tu. ?!??

By the way. M npo kukupa company. Nambie anaitwa nan nam ntakuunganisha nae
 
Back
Top Bottom