Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha kufanya kazi kihalali South Africa

Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha kufanya kazi kihalali South Africa

Edsger wybe Dijkstra

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
244
Reaction score
491
Nawezaje kupata kiball cha kufanya kazi kihalali nchini South Africa?

Nahitaji kuwa na sifa zipi au kuwa na nini?

Wenye uzoefu naomba muongozo.
 
Nawezaje kupata kiball cha kufanya kazi kihalali nchini South Africa? Nahitaji kuwa na sifa zipi au kuwa na nini?
Wenye uzoefu naomba muongozo.
Nenda SA ukifika pata visa kuingia pale pale....then utauliza taratibu zao kupata work permit .....kutegemea kitu unaenda kufanya huko.....all the best
 
Back
Top Bottom