Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Tanesco mnachukua muda gani kumrudisha mtu aliekuwa matumizi ya chini kwenda ya juu, ni once akizidisha units 72. Au kuna matazamio mara kadhaa?
Na je akijirekebisha kunauwezekano kurudishwa tena chini? Au ndio Life Ban
Tunaomba.namba yako.ya mita
 
Kwahiyo
Matumizi yako ni ya kawaida yanaenda yakiongezeka baadhi ya miezi ya yakipingua na mita haina deni wala tatizo lolote
Ina maana kupata unit 28 kwa sh elfu 10 ni sawa?
 
Wakikujibu unitag. Ninatatizo kama lako mkuu.
Tanesco mnachukua muda gani kumrudisha mtu aliekuwa matumizi ya chini kwenda ya juu, ni once akizidisha units 72. Au kuna matazamio mara kadhaa?
Na je akijirekebisha kunauwezekano kurudishwa tena chini? Au ndio Life Ban
 
Pale TANESCO wanapojipongeza wenyewe!![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…