Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Tanesco mnachukua muda gani kumrudisha mtu aliekuwa matumizi ya chini kwenda ya juu, ni once akizidisha units 72. Au kuna matazamio mara kadhaa?
Na je akijirekebisha kunauwezekano kurudishwa tena chini? Au ndio Life Ban
Tunaomba.namba yako.ya mita
 
Kwahiyo
Matumizi yako ni ya kawaida yanaenda yakiongezeka baadhi ya miezi ya yakipingua na mita haina deni wala tatizo lolote
Ina maana kupata unit 28 kwa sh elfu 10 ni sawa?
 
Wakikujibu unitag. Ninatatizo kama lako mkuu.
Tanesco mnachukua muda gani kumrudisha mtu aliekuwa matumizi ya chini kwenda ya juu, ni once akizidisha units 72. Au kuna matazamio mara kadhaa?
Na je akijirekebisha kunauwezekano kurudishwa tena chini? Au ndio Life Ban
 
TANESCO nawapongeza sana sana, mnastahili pongezi nyingi sana kwa kujiunga JF na kujibu hoja za wateja. Kwa kweli mmnaleta changamoto kwa mashirika na taasisi zingine za umma kufuata mahali walipo wateja wao na kuwahidumia pasipo ubaguzi. Nasema hivi kwasababu baadhi ya taasisi hazitaki mitandao ya kijamii na hasa JF.

Pia nashauri wanajamii kutumia vizuri fursa hii, kwa kuuliza na kutoa michango yenye tija na staha.
Pale TANESCO wanapojipongeza wenyewe!![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom