Msaada: Kabla ya kuoa, ndugu yangu yupo njia panda

Mpaka hapo hakuna muoaji, tabia na magonjwa ya kurithi tena?

Mwambie ndugu yako atafute cha kufanya Mkuu, ndoa sio kwa ajili ya kila mmoja.
Subiri tuoane mimi na wewe babe wapate mfano wa kuiga, hatuna muda wa kuchunguzana sana ukiwa na ukimwi me nakutaka hivyo hivyo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sikia, inavyoonekana binti anayetaka kuolewa na huyo jamaa yake baba aliyemlea sio baba yake halisi, ndio jamaa anapata mashaka maana anataka kufahamu tabia za mzazi halisi na kama kuna magonjwa ya kurithi pia.

Wewe unaona ni sawa hivyo?
Lazima uwajue wazazi wa binti japo kinaga ubaga na kama alilelewa na mtu baki ni kwann imetokea hivyo
 
Subiri tuoane mimi na wewe babe wapate mfano wa kuiga, hatuna muda wa kuchunguzana sana ukiwa na ukimwi me nakutaka hivyo hivyo[emoji16][emoji16][emoji16]
Naogopa matapeli, kaka mzuri ni mmoja tu!
Na sio wewe…
 
Mwanamke aolewe kwa kuchunguza
2. Nasaba yake
1. Hofu yake kwa mungu

Kisha uzuri na vingine vifate.
 
oa acha kuchunguza vitu visivyo na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…