Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Nilijidai naenda towilet ku bip maliwato, nikamuona figganigga ananizengea, nilimpa za uso nikasepa zangu wala hakuona mlango niliotokea alikuwa hajui kuwa mie natokea Katoro
Nilijidai naenda towilet ku bip maliwato, nikamuona figganigga ananizengea, nilimpa za uso nikasepa zangu wala hakuona mlango niliotokea alikuwa hajui kuwa mie natokea Katoro
Jeska akijibu swali lako basi case imekwisha!
napata shaka kuamini habari hii.....itakuwa vyema figganigga akaitwa atoe maelezo hapa....
Vin Diesel usiamini ukweli unaosemwa kwa haraka kiasi hiki!
Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.
Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.
Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani vile??????????????? LOL
Nakumbuka kila kitu ingawa nilikunywa ile kitu aliyokuwa akinywa lara 1, inaitwaaaaa nini vile, ile kitu ya pinki, hebu ngoja nim PM Mtambuzi atakuwa anafahamu maana nilimuona akitoa lecture kwa kila mtu aliyekuwa akinywa kile kinywaji.Jeska hawezi sahau alieondoka nae....
badala ya kutaja alieondoka nae katupa story ya aliekuwa anamzengea.....umejifunza nini hapa Ruttashobolwa....
umesahau tena
Nakumbuka kila kitu ingawa nilikunywa ile kitu aliyokuwa akinywa lara 1, inaitwaaaaa nini vile, ile kitu ya pinki, hebu ngoja nim PM Mtambuzi atakuwa anafahamu maana nilimuona akitoa lecture kwa kila mtu aliyekuwa akinywa kile kinywaji.
Aaaa nimekumbuka inaitwa Strawberry Lips Liquor ile kitu ilikuwa tamu ka nini maana ukiinywa midomo inakuwa ka a umepala lip stick, nilikuwa nawashangaa wanaume walivyokuwa wakiifakamia wote waliokunywa midomo yao ikawa ya pinki lo lo lo lo looooooooo aibuuuu
figganigga kuya huku uje usome Mstari wa Mwisho
Nakumbuka kila kitu ingawa nilikunywa ile kitu aliyokuwa akinywa lara 1, inaitwaaaaa nini vile, ile kitu ya pinki, hebu ngoja nim PM Mtambuzi atakuwa anafahamu maana nilimuona akitoa lecture kwa kila mtu aliyekuwa akinywa kile kinywaji.
Aaaa nimekumbuka inaitwa Strawberry Lips Liquor ile kitu ilikuwa tamu ka nini maana ukiinywa midomo inakuwa kama umepaka lip stick, nilikuwa nawashangaa wanaume walivyokuwa wakiifakamia wote waliokunywa midomo yao ikawa ya pinki lo lo lo lo looooooooo aibuuuu
Hapa picha ninayo ipata ni kwamba kivuli cha @figganiga kimetumika kumficha mtuhumiwa!
Nilijidai naenda towilet ku bip maliwato, nikamuona figganigga ananizengea, nilimpa za uso nikasepa zangu wala hakuona mlango niliotokea alikuwa hajui kuwa mie natokea Katoro
Nakumbuka mara ya mwisho chupa ya hiko kinywaji ilionekana katika meza ya akina cacico.inaitwa pinky lips kama sikosei.....naomba nisikizungumzie kinywaji hiki maana kuna mtu mmoja aliiba chupa yake na Paloma alimuona....