Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

Attachments

  • Screenshot_2024-07-20-21-20-33-10.png
    Screenshot_2024-07-20-21-20-33-10.png
    380.4 KB · Views: 36
Chuo kipo South Africa mm nipo dar es salaam. Au kun branch tanzania
Ungeelewa kwa nini nimekutumia hicho chuo ungetumia akili yako vizuri kuwasiliana nao na kupata prise list yao ndio ungejuwa kumbe elimu ni haki ya msingi na siyo lazima kusoma Tanzania.

Kwanza vyeti vya South Africa vinaheshimika dunia nzima.

Ada ya hicho chuo pamoja na hostel na nauli ya kwenda na kurudi kwa basi haifiki millioni 2 ya Kitanzania.

Wabongo msijifungie sana kwenye nchi ambayo mifumo imeshawakataa.
 
Ngoja nikushauri mzee mimi nimesoma NIT shahada ya business administration nimeanza 2020 nimemaliza mwezi huu tarehe 6 nimemaliza Sina hata Mia na nimerudi nyumbani kula ugali wa wazazi na miaka 24 nakushauri tu nenda VETA kasomee fani aidha ufundi umeme wa magari, au ufundi wa electronics haswa simu then zamia Daslam utakuja kunishukuru I wish ngejua mapema ningeenda VETA Ila it's too late 24 of age remain 6 years to reach 30 na sijawah kufanya kaz yoyote ya kuniingizia kipato siku zote nahudumiwa napewa hela kutoka hommie
 
Mmh mbona kama tunatishana kwa sisi tunao anza vyou mwaka wa kwanza?
 
Hakutishi huo ndo ukweli fanya maamuzi mapema ili usijilaum badae fikiria huyo kamaliza mwaka huu anasema ivo je ww baada ya miaka mitatu au minne mbele kutakuwa na hali gani jitafakari mapema mdogo wang watu tunasota sn mtaani
 
Are you passionate about science and technology? Ready to make a difference in the world of laboratory sciences? Join us at the Dar es Salaam Institute of Technology, Mwanza Campus for our Bachelor of Technology (B. Tech) in Laboratory Sciences program!
 
Hapo zote hamna degree ya maana zote nikutembea na mabahasha kuajiliwa kama bank teller au debt collector wa microfinance na saccos, kuiiajiri mtaji mkubwa sanaa.
Yani hii comment yako ni ya kijinga Sana... Hivi kwani Huwa mnalazimishwa kucomment??
 
Ngoja nikushauri mzee mimi nimesoma NIT shahada ya business administration nimeanza 2020 nimemaliza mwezi huu tarehe 6 nimemaliza Sina hata Mia na nimerudi nyumbani kula ugali wa wazazi na miaka 24 nakushauri tu nenda VETA kasomee fani aidha ufundi umeme wa magari, au ufundi wa electronics haswa simu then zamia Daslam utakuja kunishukuru I wish ngejua mapema ningeenda VETA Ila it's too late 24 of age remain 6 years to reach 30 na sijawah kufanya kaz yoyote ya kuniingizia kipato siku zote nahudumiwa napewa hela kutoka hommie
Yani umekaa miezi miwili Tu nyunbani unasema hakuna Ajira daaah!!! Tatizo vijana hamtaki Kuwa wavumilivu
 
Uvumilivu upo mbona Ila tu naongea uhalisia ukiangalia sahv "kampuni hadi serikali inataka watu watakaokuja kuongeza values Yan kuendeleza Efficiency, production, performance na revenues

waajiri hawataki watu wanaokuja kujifunzia makazini that's why kwa mtu mtafutaji Nashauri bora Vijana wawe na ujuzi wa mikono kama ufundi, udreva n. K Ila tusiongeze idadi ya watu wanaokaa kubeti mtaani

Binafsi elimu yetu imejikita kwenye kukaririsha so mwisho wa siku (GpA 5.0) ni ya mwanafunzi bora aliye kuwa anaweza kukariri madesa

Naomba kuwasilisha

Dogo mbna unaongea Sana... Yani unakosa points Kabisa... Hivi kweli ni Graduate wewe au ... Ndo Mambo ya Jamiiforums .. maana Kama kweli ni Graduate Muda uliokaa nyumbani ni mchache Sana... Kukosa Imani katika professional yako!
 
Point yangu ikowazi vijana wasiwaze kaz za maofisini

Acheni kuwapoteza vijana.... Kozi za kusoma Kwa mtazamo wangu ni Business administration, Transport and logistics management, Computer Science/Information technology & Accounts ... Kikubwa GPA Kali... Na skills za kujielezea na kujiamini Tu... Hayo Mambo unayoropoka wewe... Hayapo... Na ndo mana bado unawaza ugali wa wazazi
 
Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo:

1. Bachelor degree in Banking and finance -IFM

2. Bachelor degree in Accounting-TIA

3. Bachelor of logistics and transport management-NIT

4. Bachelor degree in Business administration -CBE

Naomba ushauri kwa ambaye anaujuzi kuhusu soko la ajira ni kozi gani nikasome ina thamani kuliko zote kati ya hizo ambayo itaniwia rahisi kujiajiri lakini pia kuajiriwa kama itatokea.

Kama kuna mawazo tofauti na haya juu ya kozi ya kusoma mnakaribishwa sanaa.
Kapige BA au Transport and logistics.... Kakaze mdogo wangu kazi zipo
 
Back
Top Bottom