Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

Ngoja nikushauri mzee mimi nimesoma NIT shahada ya business administration nimeanza 2020 nimemaliza mwezi huu tarehe 6 nimemaliza Sina hata Mia na nimerudi nyumbani kula ugali wa wazazi na miaka 24 nakushauri tu nenda VETA kasomee fani aidha ufundi umeme wa magari, au ufundi wa electronics haswa simu then zamia Daslam utakuja kunishukuru I wish ngejua mapema ningeenda VETA Ila it's too late 24 of age remain 6 years to reach 30 na sijawah kufanya kaz yoyote ya kuniingizia kipato siku zote nahudumiwa napewa hela kutoka hommie
Miezi miwili tu unaanza kulalamika na kukatisha watu tamaa aisee.. hiyo degree haijakusaidia baado.
 
Miezi miwili tu unaanza kulalamika na kukatisha watu tamaa aisee.. hiyo degree haijakusaidia baado.
Nampa ukweli, bora awe na fani afu degree ifuate rasi hivo akasomee afya au ualimu kama anataka green pasture za kufikia haraka Ila huku kwingine ni kugumu
 
Back
Top Bottom