kengeledoi
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 325
- 230
- Thread starter
-
- #41
asante mkuuNina mtu genuine sana anaweza kukusaidia ukafanikiwa, hahitaji malipo, ila ukifanikiwa ndipo utaamua mwenyewe kama kumpa asante au la haina shida, ukiona inafaa ni-PM
Amina mtumishiRelax. Mungu ni mwema!
plz mkuu nieleweshe zaidiInawezekana una tatizo la Hormone Imbalance.
poa mkuuNina mtu genuine sana anaweza kukusaidia ukafanikiwa, hahitaji malipo, ila ukifanikiwa ndipo utaamua mwenyewe kama kumpa asante au la haina shida, ukiona inafaa ni-PM
usikate tamaa mtoto ni majaliwa alafu mungu alivyo wa ajabu akianza atawashusha balaaNashukuru mkuu pia mniweke kwenye maombi mimi nina imani nitapata mtoto ila Mr. na ndugu zake ndo hawana subira siyo siri naona ndoa chungu mkuu.
Hakuna jipya kwa suala la hormones kutobalance........hata akina Mwaka ndio gia yao ya kila siku!plz mkuu nieleweshe zaidi
vipimo tumeshaanza mkuu na nitaleta mrejesho humu ndaniUshauri wangu kwako, nenda hospital mkafanyiwe vipimo. Kama ntakuwa fresh njoo hapa tena kwa msaada
asante mkuuHakuna jipya kwa suala la hormones kutobalance........hata akina Mwaka ndio gia yao ya kila siku!
Haya muhimu kuyafanya:
1. Kuweka tumaini kwa Mungu
2. Hospitali zote kubwa kubwa kuona kama kuna tatizo kwenye mfumo wa kizazi
3. Dawa za mitishamba
Full stop.
Angalia unaweza ikawa umesaidiwa kupata mtoto we unasema mipango ya mungumkuu mimi nilikaa miaka mitano ndiyo sasa mama kupata ujauzito una miezi 5 kikuu Muda haujafika mungu acha aitwe mungu utahangaika kwa hawa matapeli kwa kina mwaka utaliwa ela ila mungu kama hajapanga hajapanga tuu cha muhimu uvumilivu na kumwomba mungu mkuu usikate tamaa kabisa
hayo ni mawazo yako mgandoAngalia unaweza ikawa umesaidiwa kupata mtoto we unasema mipango ya mungu
nikionaga mada kama hizi huwa namcheka sana shetani. Nilikaa na mke wangu kwa miaka miwili bila mimba na vipimo vyote tulifanya kairuki pale mpaka cha mirija yuko ok lakini mimba hakina. Tukaanza maombi mi na wife tukagundua kumbe ni mapepo tu baada ya kukemea yakatoka mwezi huo huo mimba na amejifungua mtoto wa kiume.
Amini usiamini kama mkifanya vipimo vikaonyesha mko ok basi geukieni upande wa pili wa maombi mtatoka tu
Na alifanyie kazi pia ili swalaInawezekana una tatizo la Hormone Imbalance.
Usikate tamaa muombe mungu achelewi Wala awai atakujibu tu mamy usione ndoa chungu kuna majukumu mengi tu ndani ya ndoa out Na mtoto yafanye kwa ukamilifu uku ukimwomba mungu hitaji la moyo wako.Nashukuru mkuu pia mniweke kwenye maombi mimi nina imani nitapata mtoto ila Mr. na ndugu zake ndo hawana subira siyo siri naona ndoa chungu mkuu.